Search results

  1. M

    Kasi ya utendaji kazi ya DAWASCO yamridhisha Prof. Kitila Mkumbo

    DAWASCO acheni uzembe hapa bunju watu hawana maji licha ya kufungiwa mabomba kwa mbwembwe. Ukiuliza unaambiwa pressure ndogo haitoshi maji hayawezi kufika huko sasa mlifunga ya nini mje mchukue mabomba yenu.
  2. M

    Naomba ushauri nataka kununua brevis 250i au mark x 250G

    Wadau naombeni ushauri nataka kununua Brevis 250i au Mark x 250G. Naomba kujua kwa wenye uzoefu ni ipi bora kwa matumizi ya kawaida na siku moja moja safari za mapumziko mkoani.
  3. M

    Hii Konyagi Kubwa Mpya mnaionaje wadau?

    Hili bapa kubwa hakuna kitu ni sawa na joka la kibisa. Mtu unakunywa chupa zina hata huropoki maneno tuwili vya English? H
  4. M

    Makonda aenda likizo Afrika Kusini kwa zaidi ya miezi miwili

    Kwa hili la Bashite linaweka doa ambalo litadumu daima kwenye historia ya nchi hii kuhusu HAKI. Inawezekana vipi wengine kutumbuliwa ndani ya saa 24 wakati wengine wanaachwa tu? Bado tunasafari ndefu sana.
  5. M

    Makampuni ya kimataifa yafikiria kuondoa uwekezaji wake Tanzania kutokana na kodi kuwa juu

    Mh. Mkulu kukimbilia au kutishia kuwafukuza wawekezaji au kutaifisha mali zao si suluhisho la matatizo ya nchi yetu bali ni kuzidi kuumiza uchumi na kuudidimiza kabisa. Ifike mahali hata kama Serikali zilizopita zilifanya makosa na wewe ukiwa mmojawapo ambapo ulikuwa huko kwa miaka 20...
  6. M

    BOT yawafukuza waliorejeshwa na mahakama

    Pia Sheria inaruhusu kama mwajiri hawahitaji awalipe mafao yao yote kwa miaka hiyo waliyokuwa nje ya kazi plus mishahara ya miezi 12 (mwaka mmoja). Hivyo mwajiri anazo option mbili aidha kuwapokea au kulipa malpo hayo.
  7. M

    Usomaji bajeti ya Tanzania Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

    Ni vizuri wabunge wawe mfano kwa kulipa kodi. Bado mshahara wa Mkuu sijui kama na wenyewe unakatwa kodi au Lah.
  8. M

    Hivi wachumi wetu soda na sigara kuwa chanzo cha mapato ni aibu toka tupate uhuru 1961?

    Ni aibu sana kuwa na nchi inayowaza vyanzo vile vilen tangu Uhuru. Madai yao eti bia si hitaji la msingi hivyo hata ukikosa huwezi pata madhara ndiyo maana kila mwaka kodi juu. Ifike mahali Serikali iwaze angalau hatua moja mbele si kila siku pale pale.
  9. M

    Waziri wa viwanda angalia Taasisi za utafiti kuna majipu

    Waziri wa Viwanda unasubiri nini ofisini usitumbue majibu kwenye taasisi zilizopo chini yako. Hasa sisi tuliopo taasisi za utafiti kuna majipu yanayotoa usaha. Mfano CARMATES, TIRDO, nk
  10. M

    Mifuko ya hifadhi ya jamii kunganishwa na kupata mifuko miwili (Sekta Umma&Binafsi)

    Taarifa hii kama ni kweli itakuwa jambo jema sana tupunguze wezi wa mafao yetu.
  11. M

    Rais Shein amlaumu Maalim Seif kuvunjika kwa mazungumzo ya maridhiano

    Huyu Shein sikujua kama na yeye ni mroho wa madaraka hivi.
  12. M

    Kuna watu walizoea kubebwa!

    Huyu Mama Dr. Asha Rose Migiro naona kapotea haonekani tangu mchakato wa pale Dodoma simsikii tena. Vipi au ndo kastaafu na yeye siasa?
  13. M

    Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    Jana nilimsikia kweli ni mabadiliko mazuri sana ndani ya muda mfupi. Na hapo amegusa tu bandari na TRA je kwingineko kama madini, maliasili, makampuni ya simu nk nk nk??? Huenda tukafikia uchumi wa kati ndani ya muda mfupi ujao. Tumpe support ngosha atafanya mambo.
  14. M

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Mwarobaini wa mambo kama haya yalikuwa yapatiwe ufumbuzi kwenye katiba ya Warioba ambayo ingeondoa hivi vyeo vya kupeana kama njugu. Ifike mahali tuwe wastaarabu jamani na kutumia busara zaidi kuliko mabavu. Je mmetoa picha gani kwa wananchi mlioenda kusikiliza shida zao badala yake mnaishia...
  15. M

    Nashindwa kumuelewa Dr. Benson Bana

    Dr Francis yeye misifa ya hovyo na kujitia ujuaji kumbe hakuna kitu. Alijisifu sana kuwa kwenye bodi ya TPA angalau Magufuli amemtumbulia mbali. Anapaswa kunyofolewa tena kwenye bodi ya mfuko wa fidia kwa wafanyakazi.
  16. M

    Nashindwa kumuelewa Dr. Benson Bana

    Huyu Dr. Bana ukimsikiliza unaona kama vile ziliwahi kuvurugika kidogo siku za nyuma. Yaani haeleweki anataka nini
  17. M

    Sefue: Tanzania kurudishiwa dola za kimarekani milioni 6 kutoka Stanbic Tanzania

    Baraza la mawaziri kujulikana leo. Safi sana JPM kama utakidhi kiu yetu
  18. M

    Mh. Pombe futa Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Kweli hawa jamaa wako fair kuliko maelezo, mimi ndugu yangu aipata kazi hatukuamini kabisa. Kweli namshukuru Mungu sana hawa ni ukombozi kwa watoto wa watu wadogo ambao hapo awali walikuwa hawachomozi kwenye ajira. Anaye walaumu hawa jamaa ni kumuelimisha tu ajirekebishe na asikate tamaa siku...
  19. M

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Wadau kwa hatua hii ya JPM ni wazi kuwa huenda tukawa na Tanzania mpya siku za usoni kama haitakuwa ni nguvu ya soda. Aidha kwa hatua mbili tatu alizochukua hadi sasa ni wazi kuna alama za matumaini siku za mbeleni kama tutampa support. Mimi kama mdau ningeomba wale wenye data kuhusiana na...
Back
Top Bottom