Laugh a little: Mchaga alidondoka kwenye kisima cha maji, akapiga kelele akitapatapa. Mkewe akaja na kamba mpya akamshushia. Mume akauliza, umenunua shilingi ngapi? Mke akajibu, buku pale kwa Swai. Mume akamwambia, irudishe haraka, nenda kwa Masawe anauza jero tu. Fanya haraka aisee, nitazama.
Nadhani nashawishika kukubaliana na wewe. Kwa kweli watu wengi wameacha kufuata interest na kuamua kufuata hela. Yaani pesa ndo imekuwa interest yao. Hii inatokana na mambo mengi lakini, changamoto za kiuchumi, lakini pia, nahisi uzalendo uliopungua, labda kutokana na watu kukata tamaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.