Search results

  1. M

    Kuuliza si ujinga: Ni sawa/sahihi Kamishna Mkuu wa TRA kuwa Mwenyekiti wa Bodi NMB?

    Ni makosa makubwa Tax collector kuwa ndo mwenyekiti wa board ya benki kubwa ya kibiashara hasa ikitokea sintofahamu ya suala la kodi. Ningeelewa kama Msajili wa Hazina angekuwa ndo Mwenyekiti kwa niaba ya serikali. Mgogano sio tu kwenye masuala ya kodi bali pia na masuala ya kukusanya mapato...
  2. M

    Ruth Zaipuna: Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa juu kwenye benki Tanzania

    Wakurugenzi watendaji wanawake wa benki walikuwepo huyu sio wa kwanza. Sabetha Mwambenja Exim nadhani kutoka 2001 to 2010,Magrareth Chacha Tanzania Women Bank 2013 to 2016 na Jacquiline Woiso Bank M nadhani 2015 to 2017 au 18. Labda hapa issue ni kuwa CEO wa benki kubwa kuliko zote kwa...
  3. M

    Stanbic bank tanzania kunani...

    Du Kazinja mkuu wa HR ndo anakula ile toto ya Aboud Jumbe? Faiza Jumbe Mwache afaidi maana ile benki inaongoza kwa machangudoa
  4. M

    Tegeta Escrow: Stanbic Bank yatoa Press Statement

    Naona Citizen wametenda haki, kwa kutujulisha aliyehusika article hii hapo, Ni Mganda Mmoja kwa jina la Paul Omara, ndio aliyewezesha mambo yote. Article chini Dar es Salaam. Stanbic Bank Tanzania is at a crossroads following Parliament's resolution that the bank be investigated and tasked to...
  5. M

    Tegeta Escrow: Stanbic Bank yatoa Press Statement

    Hawa Stanbic wanaleta ujeuri wa kikaburu. Nchi hii ingekuwa na viongozi makini,mpaka sasa leseni yao ingekuwa imeshafutwa na Benki zote duniani kujulishwa kuwa hii ni benki ya kutakatisha fedha haramu za rushwa. Kwangu mimi hii ni Tegeta Escrow Bank. Warudishe pesa zetu walizitoa kwa magunia.
  6. M

    Hellen Makanza wa Stanbic katika sakata la Tegeta Escrow Account

    Wakuu, Washiriki wa ndani waliofanikisha usafishaji wa fedha haramu(money Laundering) Stanbic Bank ni wafuatao:- 1. Paul Omara- Acting CEO,between July 2013 to January 2014 2. Lilian Kitomari : Head Executive Banking, ndio aliyoleta dili na kukubaliana na Paul Omara, wafungue Account ya...
  7. M

    Revealing: Wanufaika wa akaunti ya Tegeta Escrow kupitia Stanbic wameshajulikana (Clue 3)

    Wakuu, Nimeiangalia hii statement ya stanbic na kumsaidia Hosea(PCCB) kuna vitu muhimu sana ya kuviangalia:- Account ilifunguliwa tarehe 27/11/2013, chini ya business banking. Kwa size ya biashara ya PAP, ilitakiwa ifunguliwe chini ya Corporate. Ila wakaona kule masharti ya kumjua mteja...
  8. M

    NBC ndio Benki Ya Hovyo Hapa Mjini Kuliko Zote it Should Be Closed!!

    Hawafai NBC hata kidogo wanavumbua requirements zao na sio standard KYC(know ur customer).Mimi nilipoona nazungushwa nikasepa zangu Exim. Waache waendelee hivyo hivyo.Sio kweli kupata uhakika brela ni shida.Exim Bank Siku 1 tu na service safi. NBC tawi kama la Coco Plaza hamna hata wateja...
  9. M

    SUMATRA yamuumbua Mwakyembe, yaungana na bodi iliyotimuliwa kuibana TPA

    Phares Magesa ni mfanyakazi wa shirika la umma na Mwanasiasa(Mnec ccm wilaya ya Temeke) ila kathibitishwa waraka wa serikali kuhusu siasa na utumishi wa Unawahusu wapinzani tu.Huu uswahiba wa Bagamoyo ndo unaua Bandari yetu Kipande,Gurumo,Mtawa etc.
  10. M

    Application for a post of Assistant Research Officer - Msaada si UTAPELI HUU

    Kamanda mkenge huo.We waambie wakupe appointment letter visa ya kuingilia South Sudan utaipata Nairobi.Mi nnavyojua AlBashir Sudan Kartoom anawasupport kwenye visa South Sudan kwa nchi ambazo hawana ubalozi kama TZ. Nenda ubalozi wa sudan upo mitaa ya Upanga baada ya msikiti wa Ismailia kabla ya...
  11. M

    Harbinder Singh Sethi aliyenunua IPTL ni nani?

    Kamanda we mgoogle tu.Huyu sing kafanya nadeal ya namna hii mengi 2 huko Kenya na South Africa yeye ni sura nyuma kawaida yake kuna wanasiasa.Kwahiyo sishangai kwenye hili la IPTL.Kenya kunarepoti kibao kuhusu ushiriki wake na Moi Family.
  12. M

    Nina PhD natafuta kazi

    Kaka mbona mataasisi ya kijeruman bongo yapo kibwena umekosa hata huko maana mi washkaj waliosoma Ujerumani wapo GTZ,Goeth Institute etc washtue DAAD wakuunganishe kwenye projects na NGO za akina Rudi Voller au Kijeruman hakipandi?maana hilo laweza kuwa tatizo
  13. M

    Ezekiel Maige: Kamati teule ilikuwa na kinyongo na Mimi

    Swali hili anayetakiwa kujibu ni Membe maana wapo Uarabuni. Mimi nadhani jukumu la kulinda wanyama wetu tuwakabidhi WWF(world wildlife fund) maana Wizara imeshindwa hata juzi wameua Faru tena mbugani Serengeti alaf yule bishoo Nyalandu anauza sura tu.
  14. M

    How Kariakoo Traders Defrauded Stanbic Bank

    Benki Kuu ina jukumu la kuchukua hatua za uhakika kudhibiti hali hii ya mabenki ya ndani ya nchi kuendeshwa kwa remote kutoka nje.Ilishatokea Barclays na NbC Hii inamaaniasha hamna corporate governance na maamuzi hayazingatii uelewa wa soko la ndani ya nchi ambao unatofautiana kati ya nchi na...
  15. M

    How Kariakoo Traders Defrauded Stanbic Bank

    Shida kubwa kwa sasa hivi kwa Stanbic ni kuwapa uongozi watu wa Uganda na Kenya ambao ndio waliosababisha hasara.Kufanya biashara ya benki Tanzania kama huna uhusiano mzuri na wadau(mashirika,taasisi na serikali)ni kupoteza wakati.Wataendelea kupata hasara wasijue nn kinaendelea.Kama kuna watu...
  16. M

    Kasi ya ukamataji wa meno ya tembo

    Nakubaliana na wew meno yaliokamatwa kwa wachina na kule Unguja ni tembo wa zamani kwa muonekano wake na size maana ni makubwa kuna uwezekano mkubwa yametoka kwenye maghala ya maliasili pale Chang'ombe(Ivory) hasa ukizingatia Waziri anavyofika fasta maana vijana wanawajua waliowauzia so...
  17. M

    Oikocredits

    Shehe nenda. Kijitonyama LAPF millenium tower office zao zipo pale boss wao anaitwa Deus Manyenye kama sikosei
  18. M

    Daah Ajira ngumu aisee!

    Pole sana kamanda maana Maelezo yako yanaweza kutengeneza movie ya ukweli holiwood.Mi naona mtafute Mwigulu anaweza kukuwezesha si anaandaa muswada binafs kuhusu ajira kwa vijana wasomi
  19. M

    Miss Redds Ilala 2013 Next Friday 16th, August 2013 at Golden Jubilee Tower Downtown/Bongo.

    Duu Baada ya Maumivu yote ya Idd na nane nane mbona tutakuwa tumepukutika haswa kiuchumi naona kama timing sio muafaka.Ila wabongo kila mtu na michongo yake.Onyesho jema U know!
  20. M

    Selikali mmekopa Stanbic sasa wanatukomesha

    Upcoming si ujibu hoja za Uzi haswa kuhusu malalamiko ya kuongezeka gharama,riba za mikopo zinavyopandishwa kiholela etc.Haya survey hayasaidii maana ni yanategemea uhusiano wa biashara.KPMG Ndo mkaguzi wa Standard Bank ss unategemea nn?Hata Lehman Brothers US ilikuwa no 2 investment bank na...
Back
Top Bottom