Search results

  1. K

    Hatimaye J.K Kafanikiwa kunywa maji na kuchafua kisima

    Tatizo la serikali yetu ya CCM mzaha na usanii mwingi, nina uhakika EL,AC Hawatajiuzuru kwa sababu ya utoto aliokuwa nao Nape na wenzake kina Sitta na hapo ndo tutakapoiona picha kamili shauri yao bwana.
  2. K

    Waziri Nchimbi umetia aibu

    Tumedhubutu, tumeweweza na tunasonga mbele
  3. K

    Vituko vya gazeti la uhuru

    Limeanza kuchapishwa rasmi lini? na linatoka kwa wiki mara ngapi ? tujuze mdau
  4. K

    Sisi tunataabika, Kikwete anakunja nne Ikulu

    Kweli Mjepu Bado U Kimeo , Sijakuelewa una maana au unataka kusema wakristo na wachaga ndo wanangang'ania kwenda Ikulu kufanya Upuuzi Kama Unaotokea sasa Nchini mwetu,acha wehu mjepu fanya tahmini kabla ya kusema.ukiendelea hivyo utapata laana na maisha yako yote yatakushinda kuanzia ndoa mpaka...
  5. K

    Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    Habari Mzee wa Gamba, Kumbe nawe upo ndani ya JF Hongereni kwa operesheni vua Gamba.lakini hii falsafa mmeitoa wapi lakini au ndo mmeikota kwa watoto wa kitaa mkaibandika NEC,kweli mlishindwa hata kumpelekea mzee Kingunge au Mkapa awashauri mtokeje. Ila nakushauri najua wewe ndo mlopokaji wa...
  6. K

    Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    Bado Sijapata maana wanaJF nitarudi baadae
  7. K

    Mkapa amkaanga Kikwete

    Ndugu yangu Mbopo inaonekana huelewi kabisa mfumo wa serikali unavyokwenda, hakuna manunuzi au malipo ya serikali yanayoweza kufanywa na mtu mmoja hiyo kitu haipo dunia yeyote ile. Kesi ya Mahalu na Liyumba zinafanana kabisa. Ukifanya maamuzi serikalini kwa kutofautiana na wanasiasa lazima...
  8. K

    Wanatuibia:Tuache kununua sinema za KIBONGO

    Kumbe kuna watu bado mnaziangalia, Binafsi nilishaacha miaka 3 na nusu iliyopita kwa bongo huwa nazicheki comedy tu hizo nyingine ujinga mtupu picha gani ikishaanza unajua itaishaje. Mimi ninaiomba wizara iweze kuwasaidie watu wakuweza kuhariri filamu zao otherwise watakuwa wanaziona wenyewe
  9. K

    Tigo mnatupa usumbufu mkubwa sijui ni Dar es Salaam peke yake au na mikoani

    Tanzania hii hakuna mtandao unaoweza kuutumia bila matatizo 100%, wote wasanii tuu wamekuja kutunyonya tu washibe then waondoke lakini kiama chao kitakuja tu, tatizo hata nchi zetu zimekosa viongozi wote madodoki tu wanaendeshwa na wawekezeji tu, cha kukusaidia wewe uwe na laini zote tu...
  10. K

    Viongozi hawa wawajibishwe ili kuleta taswira nzuri katika taifa letu

    Habari wana JF, Naandika habari hii kwa masikitiko makubwa, Nina mashaka na ubunifu na uelewa wa baadhi ya viongozi katika nchi yetu hasa kwenye masuala ambayo yanaonyesha taswira ya Taifa letu . Naandika hivi kwa sababu nimeshuhudia kitu cha ajabu mno jumamosi ya Tarehe 14/05/2011 pale...
  11. K

    CHADEMA ndani ya Sumbawanga

    Binafsi nimeishuhudia hii, Hakika Chadema Wanakubalika wana JF kama hukubali utakuja shuhudia na kuthibitisha hili, sikutegemea kabisa CDM wakakusanya watu wengi kiasi kile tena watu wa rika zote Sumbawanga, Nauomba uongozi wa CDM waendelee na moto huu mikoa yote na kanda zote. Unaweza...
  12. K

    Dk.Slaa anasa waraka wa siri CCM, afichua wizi wa mabilioni hazina

    Safi sana Dk endelea kutufumbua macho watanzania ipo siku wote upofu utatoka na kutambua upi mchele na upi uwele, endelea kufuatilia kila kitu baba uliokoe taifa hili. Aluta continua.
  13. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Habari wanaJF,Nimejiunga rasmi ndani ya JF dakika 72 zilizopita, Nawapa hongera wana Man U kwa ushindi mzuri wajana FA Premier League Champion imetua Old Trafford Hilo halina ubishi. Nawaomba wenzetu wa Arsenal,Liverpool,Chersea,Man City watuunge mkono pia tarehe 28 mei pale Wembley na...
Back
Top Bottom