BOT tunanakula nchi nyie kalia politics tu ,yaaani mkurugenzi anapewa mil 24=mara nne kwa mwaka bure kama punzisha kichwa wakati wa mkopo kila anayetaka mda wowote bila kujali ulishalipa wa mwanzo au bado !ahaaaa tunachekelea sana BOT kwa kweli...acha tuitafune ii inji..
Msg from 4238770736. Nishatumiwa sana msg za aina na namba hii !
004238770735.
mpaka simu inaisha chagi uzingatia uko kikijini umeme shida sijui niende wapi?kushitaki kesi hii ?
Nishatumia sana msg za aina na namba hii !
004238770735. mpaka simu inaisha chagi uzingatia uko kikijini umeme shida sijui niende wapi?kushitaki kesi hii ?
Nauza sehemu ya shamba langu Niweze kukabiliana na Majukumu Makubwa na Mazito yanayonikabili kwa sasa,Unaweza kuniambia niandikeje Mkuu!Ni mauzo yanayoambatana na Uhitaji wa haraka sana….. Naweza kusema ni Msaada Mkubwa maana natafuta ninachokosa kwa sasa, kama unielewa vizuri !Mfano...
MSAADA KWENYE TUTA TAFADHALI ..Bin TAFADHALI .
Ndimi Jovin Baro,
Mobile; 0654- 55 03 65
Email;jovinnb@gmail.com
Naomba kwa wana JF na Jamii kwa ujumla, kwa ambaye anaweza kuwa na nia ya kweli ya kununua Kiwanja.
Nauza sehemu ya shamba langu lililopo Mbezi sehemu...
Pd holder ---nil
Masters------ 03
Degree-------12
Form vi------79
form iv --------175
Std vi ---------18,006
non................46,899
Nipe tadhimini wakuu wa kazi !kwenu je vp hali ya shule ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.