Search results

  1. K

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Siku za mwizi ni arobaini, Sitta siyo mkweli, anapretend kujifanya msafi katika kundi la wachafu. Hiyo ndiyo hatima ya Mnafiki, na bora angekuwa ananyamaza kimya anvyozidi kukanusha shutuma ndiyo kwanza anakuwa kama anamwaga petrol katika moto unawowaka.
  2. K

    Kikwete, Museveni, Lowassa, Mwinyi kuzomewa UDSM, ni ishara ya nini?

    Mkuu nakuunga mkono hoja yako hapo juu, wanatakiwa kuandamana hata katika masuala mingine ya kijamii, wanachodai ni posho tu, nawakishapata nenda katika vyumba vyao utakuta wameenda kufanya shopping kubwa tu na wengine starehe. mbona huku nje ya nchi tunaona wenzetu wanjilipia ada ingawaje...
  3. K

    Mpendazoe aanika walioanzisha CCJ

    Watanznaia tunapenda sana siasa kuliko chochote kile, sababu tuanpenda kuzungumza sana na uvivu, maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mwananchi mwenyewe, ujitume na uache uvivu, msitegemee kila kitu kitaletwa na serikali ili hali hamtaki kujishughulisha, hata ukienda bank kama NMB ambayo ndiyo...
  4. K

    Baba Yangu Amebaka Housegirl-Mama Anataka Kuondoka!

    Duh! ngoma nzito, Ila hakuna linaloshindikana kama mtawashirikisha watu waziam wenye hekima kulimaliza hilo. Pole kwa hilo, ndiyo dunia ya utandawazi
Back
Top Bottom