Search results

  1. R

    Napangisha nyumba au kuuza.

    hahaha hv kwa nini usitafute watu wa kucheza nao?
  2. R

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    mwungwana ur too cheap
  3. R

    RE: NAWAOMBA WATANZANIA MNISAIDIE KAZI PLZ NINA Msc ya IT

    shida yako nini au unapenda kudandia treni kwa mbele??? masharti ypi unayoyaona hapo kuza uwezo wako wa kufikiri
  4. R

    RE: NAWAOMBA WATANZANIA MNISAIDIE KAZI PLZ NINA Msc ya IT

    kama kweli una masters niandikie ufaulu wako wa ba na masters kwa pm au nitumie copy ya cv kwa email yangu robistory@gmail.com naweza kukusaidia kazi ya ass. lecturer mahali ila ajira ni kuanzia mwezi wa 9 ndugu yangu kila la heri.
  5. R

    Ajira za walimu za yeyuka

    mbona hata mimi nilikuwa nasubiri?
  6. R

    Ajira za walimu za yeyuka

    mbona una jazba? nenda www.moe.go.tz
  7. R

    Ajira za walimu za yeyuka

    ajira zimeshatoka
  8. R

    Philip Mangula vs Dr. Willibrod Slaa

    bora mkuu umeliona hilo
  9. R

    Philip Mangula vs Dr. Willibrod Slaa

    kwa kampuni hata mimi naweza kukubali coz unapoongelea CDM unaishia na LISU MBOWE NA SLAAA but ukija CCM unazungumzia watu milioni 6 mkuu
  10. R

    Philip Mangula vs Dr. Willibrod Slaa

    mangula nafikiri ni zaidi coz ameongoza CCM taifa zima na kama tujuavyo CCM na CDM ni mlima na kichuguu huwezi kusema slaa anamzidi mangula vinginevyo ni utashi wako binafsi
  11. R

    Philip Mangula vs Dr. Willibrod Slaa

    Wadau kama tuwajuavyo majembe hayo mawili wote wamepata kuwa na hadhi ya ukatibu mkuu wa chama ingawaje mpaka sasa dr. slaa bado ni katibu lakini katika utendaji wao hawa watu kila mtu ana mafanikio yake hasa historia zao za kutukuka sasa je kati ya hawa unafikiri ni yupi ana mvuto na uwezo...
  12. R

    CCM Yatoa Mpya Funga Mwaka; Kutumia Nguvu Ya Mungu Kuzunguka Nchi!

    tupe mwongozo mkuu labda angesemaje??
  13. R

    Nipeni pole

    mashoga nyie mnaojadi;i vitu vyepesi na vya uwani
  14. R

    Nipeni pole

    teh teh teh
  15. R

    Watch ITV NOW!: Baba Wa Taifa Mwalimu JK Nyerere Anazungumzia Sifa za Rais Ajaye!.

    hili ni tatizo lao kuu maranyingi huwa nagombana nao hapo wanaamini slaa ni malaika na ni mwarobaini wa matatizo yote ya TZ wakati anamwili kama wao,, anawaza kama wao
  16. R

    Njia nyingine rahisi ya kuwasaidia Seif, Jussa na wengine kuitoa Zanzibar kwenye Muungano

    acheni kushabikia mambo yanayohatarisha ustawi wetu
  17. R

    Watch ITV NOW!: Baba Wa Taifa Mwalimu JK Nyerere Anazungumzia Sifa za Rais Ajaye!.

    CCM ni suluhisho pekee jamani la umoja na mshikamano wetu
Back
Top Bottom