Search results

  1. K

    Wakati makada wa CCM waliotangaza nia wakiiteka nchi, Edward Lowassa aongoza kwa kuanguka

    Nimepoteza muda mwingi kusoma post zako kijana...truly ts wastage of time...tutajie na wewe anae kulipa bse unaongea takataka tupu maskini
  2. K

    Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

    Napenda kuyaongelea haya USHABIKI WA KISIASA & IMANI YA KISIASA,Katika siasa haya ni mambo mawili yanayokinzana kutoka mtu hadi mtu, nayo huchangiwa hasa na hadhira inayoangalia mchezo mzima wa SIASA. HADHIRA(jumuiya tazamaji) ina mchango mkubwa katika kutoa muelekeo wa maana halisi ya haya...
  3. K

    Wanafunzi Vyuo Vikuu kuandamana kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Urais

    Tatizo nchi hii mna njaa sana,,,,sasa watu wenye maamuzi wamedhamiria, na watamwinda mzee popote alipo na atakuwasupported kugombea uraisi whether you like it or not. VIVA ENL
  4. K

    Edward Ngoyai Lowassa VS Edward Moringe Sokoine

    MKUU GALIYA UNAINGIA CHAKA ,,,,umeongelea kuhusu utendaji wa MORINGE(rest in peace) but kwa LOWASSA umetaja hisia zako tu huna ulichoproove,,,,umetaja tabia za MORINGE kawa kuelezea yale aliyoyafanya kipindi cha uongozi wake bali kwa LOWASSA hamna ulilolitaja zaidi ya mawazo yako binafsi ambayo...
  5. K

    Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    kwani nikilipwa kwa kazi ninayofanya kuna shida? wacha nilipwe ili mladi ujumbe umefika,,,viva EL
  6. K

    Katika hili Dr. Slaa amedhihirisha Tundu Lissu alikurupuka na kuna mgongano ndani ya CHADEMA

    SLAA anajua chama kuwa wamepoteza the greatest weapon of all time, chama kina srea nzuri ila kimejaa wahuni tu, hatuwezi kuwapa nchi wahuni
  7. K

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    MKUU SAGGY,,, hapa unatwanga maji kwenye kinu,,,,kukosekana kwa hoja za kumpinga lowassa ndio maana sahihi ya ukubalikaji wake, hao wote wanaompinga wanapminga kwa mada za kwenye KAHAWA
  8. K

    Siri 5 Kuhusu Majambazi ya Amboni Tanga

    haha ha aha ahadrama continues
  9. K

    Uganda yajipanga kuwa power house y E.A. Tanzania yajikongoja

    This country aarrrgh, needs some serious dictator for things to move on
  10. K

    Obama Threatened to Shoot Down Israeli Jets Attacking Iran

    Mind game, never on earth, Israel vs the US.
  11. K

    Uwezo wa kuongea na nafsi ya marehemu au mtu aliye mbali bila uchawi

    dah hapo kwenye mali umeongea cha maana,,,fanya mpango wa mill5 basi ndugu,,,nitakurudishia:eyebrows:
  12. K

    Jinsi US na Uk intelijensia zinavyofanya udakuzi kwenye sim card Dunia nzima- Snowden

    russians piia ni wazuri katika kuwanunua spies but they are not easy in letting the spy from another country kwenye premises zao ambazo ni critical and secretive
  13. K

    Jinsi US na Uk intelijensia zinavyofanya udakuzi kwenye sim card Dunia nzima- Snowden

    naamini russians pia wapo makini nae (snowden) because mtu anaeweza kuuza nchi yake hawezi kuona shida kukuuuza hata wewe jirani (tena adui wa asili,russians)
  14. K

    Ufisadi White House

    hahaha eti sijanywa wine,,,we dingi tatizo
  15. K

    Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    yeriko hana jipya,,,jaribu kuaminisha watu kwa ukweli na sio kulazimisha watu wafate yale unayoyaamini
  16. K

    Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    hapo ndipo tatizo lilipo, watanzania ni wanafiki siku zote,,,yanakuja wakati ambapo fulani anatarajia kutangaza nia,,,unachofanya huna tofauti na team diamond na team wema bro.
  17. K

    Friends Of Lowasa Ndani Mlandizi Jumamosi

    ana jeuri ya kutumwa na ukawa??katumwa na khadija kopa,huoni mistari ya mipasho hiyo?
  18. K

    Friends Of Lowasa Ndani Mlandizi Jumamosi

    sasa mzee mbona tunakua na misimamo ya kisarawe,,,escrow inakushinda,kama huioni vile,huyo anaetuhumiwa bila uthibitisho unamng'ang'ania balaa,,,,,,,,pinda na kashfa ya sukari bado anapeta huongei
  19. K

    Friends Of Lowasa Ndani Mlandizi Jumamosi

    hajui haswaaa,,,mipasho ni asili yako:nod:
  20. K

    Selous yamegwa: Ni kwa ajili ya uchimbaji uranium; Hekta 34,500 ndizo zilizolengwa!

    Tanzania 'will mine uranium on Selous Game Reserve' The Selous Game Reserve in southern Tanzania is one of the largest fauna reserves in the world Continue reading the main story Related Stories Serengeti road halt for wildlife Country profile: Tanzania Tanzania will go ahead with plans to...
Back
Top Bottom