Huyu haelewi maana halisi ya bima. Wastaafu walichangia kwa muda wote wakiwa kazini. Magonjwa yote ni magonjwa lazima mwanachama ahudumuwe magonjwa yote.
Mwalisho anasema kwa unyonge kuwa serlikali ilipe madeni yake kwa bima, je ni utaratibu serikali kukopa kutoka mfuko wa bima ya afya?
Serikali inawajibika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi wake, ikiwa ni pamoja na kutoa knowledge na skills kwa wananchi kupitia mifumo ya elimu, kuweka sera nzuri za upatikanaji wa mitaji. Serikali inapaswa kuwekeza kwenye tafiti. Hiyo ni kwa uchache sana!
Uchaguzi wa serkali za mitaa unazalisha mwenyekiti wa kitongoji, mwenyekiti wa kijiji/mtaa kakini kata haina mwenyekiti, tarafa haina mwenyekiti, wilaya haina mwenyekiti wala mkoa hauna. Unadhani hwaelewi kama wenyeviti hawa wanahitajika mbona kwenye vyama vya siasa wanaelewa kuwa nafasi hizi...
The history of population counts in Tanzania dates back to 1910. The first modern census was conducted in 1958. After the union of Tanganyika and Zanzibar in 1964, other censuses were conducted in 1967, 1978, 1988, 2002 and 2012. Since 1967, the country has conducted decennial Population and...
Tanganyika ilimilikiwa rasmi na Ujerumani tangu mwaka 1885 baada ya mkutano wa kugawana Afrika uliofanyika mjini Berlin nchini Ujerumani. Baada ya hapo Watanganyika walianza kutawaliwa rasmi na Mjerumu. Katika utawala wa Mjerumani, Mtanganyika aliondolewa kabisa majukumu ya uongozi na kazi hiyo...
Thank you Capital for your appreciation,
When I explained the concept of Labour of citizen (Lc), here I mean that prosperity of the nation comes from hard working citizens not grants or loans. My advise to the governments of poor countries is to focus on their citizens rather donors and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.