Search results

  1. E

    Kikwete anaiogopa CHADEMA?

    Acha kufikilia kwa Masaburi wewe, subiri chama chako kitakapokuwa cha upinzani, ndio utoe hoja yako hiii..
  2. E

    Kigoda cha Mwalimu: Prof. Shivji vs Mkapa

    Mkapa mwizi tu, yeye ndio chanzo cha kufuga mafisadi..amefanya kipi kizuri? Amewapigia debe mafisadi na chama chake kuendelea kula nchi na mali za uma, halafu leo anauliza serikali ya chama chake imejenga viwanda vingapi, kama sio upuuzi? Binafsi naungana na hoja ya Nyerere.. Mkapa alipwe peshen...
  3. E

    Mkapa ana kwa ana na Ulimwengu

    Mkapa bora aachane na siasa tu, maana Arumeru kwenye kampen alisema wanao hoji suala la ubinafsishaji ni wavivu wa kufikiri, then leo anasema ni tatizo la uongozi... sasa anatudhihirishia jinsi uongozi wake ulivyokuwa dhaifu wakati yeye akiwa kiongozi mwenye dhamana.......basi na ahukumiweee!!
  4. E

    Kesho tume ya katiba inaapishwa ikulu

    serikali mbona haieleweki? Awali walitoa taarifa tume itaapishwa mwishoni mwa mwezi huu tarehe 30 ili mei mosi tume ianze kazi rasmi... weken vitu na taarifa za kueleweka kama ni tetesi basi ijulikane!!
  5. E

    Rasimu ya Katiba ya CHADEMA haina uhalali

    Hayo maneno yaliyokuwa bolded, mkubwa soma news na uzielewe..chadema hawakupeleka rasimu ya katiba, isipokuwa walipinga rasimu iliyotolewa na serikali kwa kuwa haukutolewa muda wa kutosha kujadiliwa na kutolewa maoni na wananchi.. Ila kama unamaslahi yako binafsi, mkuu endelea, uchumi wa nchi...
  6. E

    NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

    hiv ni kwanini usijishangae wewe unaitetea hiyo sh 70,000 ya posho? Ni kweli ni kiasi kidogo lkn kwann nyie magamba hamtaki kukiachia pamoja na udogo wake?
  7. E

    Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

    Katika jamii yeyote ile duniani, tunajua kwamba katika kuvuna, ni lazima kuwe na shamba lililotayarishwa, likapandwa, na likazaa. Na ni vivyo hivyo 2navyolitizama suala hili la maendeleo, Mh.Lema, amekuwa mchango mkubwa sana ktk jamii ya kitanzania bila kuangalia jimbo lake husika kuwaandaa...
Back
Top Bottom