Search results

  1. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni Mwl wa secondary nipo manispaa ya songea, kama una ndugu,jamaa au wewe mwenyewe yupo/upo mbeya jiji na ungependa kuhamia manispaa ya songea tuwasiliane. 0756 56 72 82.
  2. K

    Kubadilisha kituo toka songea mjini kuja mbeya mjini

    Nimepangwa songea mjini (ajira mpya za walimu) ninaomba kama kuna mtu yeyote aliyepangwa mbeya mjini, vijijini, mbozi, mbalali, rungwe na kyela na angependa kufanya kazi songea mjini tuwasiliane. 0756 56 72 82 na 0717 28 27 26.
  3. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nimepangwa songea mjini naomba yeyote aliyepangwa mbeya mjini au vijijini na angependa kufanya kazi songea mjini tuwasiliane...0717 28 27 26 na 0756 56 72 82.
  4. K

    Kifurushi cha mb 400 airtel kimefutwa?

    Wanabodi ni siku ya pili leo kila nikijaribu kununua kifurushi cha MB 400 sipati naomba msaada wa kujua tatizo ni nini. Kimefutwa au ni tatizo la mtandao tu?
  5. K

    King'amuzi cha itv na sahara lini jamani?

    Nimekuwa mteja wa star times kwa muda sasa lakini wamechosha na wamekosa ubunifu. wamefikia hata kubadili chanels kwenye vifurushi bila kutoa taarifa. mwenye tetesi au taarifa za king'amuzi cha ITV na SAHARA anipatie.. Kama kuna watumiaji wa ZUKU naombeni kujua wana local channels ngapi na za...
  6. K

    Richard Kasesera Mwenyekiti Bodi ya Madini, Anazo sifa Stahiki??

    Hizi ni fadhila za JK kwa baba yake na Richard mzee kasesela ambaye kwa muda mrefu sana alikuwa kamishna wa madini wakati JK alipoingia wizara ya nishati na madini enzi zile..ndipo ukaribu wao ulupoanzia na toka hapo wamekuwa family friends na jamaa huwa anatumwa hata hospitali kuwapeleka wadogo...
  7. K

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Kwa kuweka kumbukumbu sawa huyu jamaa yenu (Mulugo) akiwa administrator shule yake iliwahi kufungiwa kuwa kituo cha mitihani na NECTA kwa miaka mitatu baada ya kupatikana na hatia ya kuibia wanafunzi wake mitihani.
  8. K

    Tuwaombee msamaha Kafulila na wajumbe wengine wajiunge CHADEMA

    Ikumbukwe kuwa Kafulila hakufukuzwa cdm ila alijiondoa yeye mwenyewe.. Na kwa tabia zake amevuna alichopanda jamani.
  9. K

    M/kiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha akamatwa na kuswekwa rumande - kisa makala ya uchochezi

    Ukweli siku zote hujitenga na ukweli..c muda mrefu aibu iliyowafika kwa Muro itawaanika kwa mara nyingine tena jinsi askari wa Tanzania wanavyotumia akili za watu wengine kutekeleza majukumu yao. Ndio maana hata wakiambiwa ishi kwenye vibanda vya mbwa hawaoni hatari kutii amri..NDIO AFANDE! Ndio...
  10. K

    Said Kubenea ni mzalendo, mnafiki au njaa inamsumbua?

    Kubenea ni mpambanaji asiye na mfano...na Sitta ni mnafiki asiye na mfano pia, kwa kifupi ni mchumia tumbo ambaye Kubenea hawezi uacha kumuandika na kufichua uozo wake.
  11. K

    Picha huongea zaidi ya maneno... NEC ya CCM huko Dodoma

    Wenye akili zetu tulishajua nini kitajiri dodoma...ccm c chama chenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu abadani. Na hiyo picha inadhihirisha hilo...wamejaa unafiki tu.
  12. K

    Hatimaye Mbeya kumetulia

    Viongozi wa Mbeya Wanazidi kutudhihilishia tu kuwa serikali yetu inaishi kwa matukio na kamwe wao c binadamu wa kawaida wanaweza kujifunza kutokana na makosa mengine...yaleyale mazungumzo baada ya kuua na kuumiza raia wasio na hatia kwa kodi zao.
Back
Top Bottom