Search results

  1. McEM

    Ajali mbaya Musoma: Basi la Mwanza Coach limegongana uso kwa uso na basi la J4

    Ahadi inapo fikia haina kinga,nikuwaombea tu marehem mwenyezi mungu awaweke mahali pema peponi Amen
  2. McEM

    Mjumbe wa bunge la katiba aanguka Bungeni.

    Taarifa ilistahili kuandikwa hivii. Kaangua kilio na kwenda kulazwa hospitali baada ya kupata taarifa ya kifo cha babiye.
  3. McEM

    Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    Poleni wanakilosa,hatuna budi kumshukura karima.
  4. McEM

    Kila mwanakijiji alipata kitita cha elfu 10

    Kwa upande wangu mimi,ninauponge huo uongozi wa kijiji kwa hatua hiyo walio fikia ya mgao wa 10000.kutoka mapatato ya kijiji,na kama sikosei ndio cha kwanza tz kwa wananchi wake kupata mgao wa mafao ya kijiji. Hongera sana uongozi wa kijiji,inaonekana hata wakipewa nchi tutafaidika kwa mengi ya...
  5. McEM

    Usijaribu kula nyama ukiwa mkoa wa Tanga

    Kweli hii khabari !!.
  6. McEM

    Ubaguzi huu utakoma lini?

    Hapo umenena.
  7. McEM

    Hatari! Viungo vya maiti vyauzwa mochwari,maji ya kuoshea na sanda navyo dili...!!

    Hakuna jipya,hii methali ya "kila mtu anakula afanyiapo kazi" yaani wacha tu.n
  8. McEM

    Mshukiwa wa dawa za kulevya aliyetajwa na Mwakyembe!

    Hivi hizi taarifa zilipo tolewa kwa mara ya kwanza katika gazeti la SANI,ili chukuliwa kama kikatuni cha madenge vile !!. Sasa Mwakyembe kataja hawa wafanya bzns,ndio tuna kumbuka kuwa kumbe taarifa ya MADENGE ilikuwa sio kichekesho.
  9. McEM

    Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

    Hi hali hapana ina tisha. Nimatumaini yangu kuwa hawa punda pindi watakapo ziona hizi picha basi wengi wao wataacha hi kazi.
  10. McEM

    Bibi Harusi afariki Saa moja Kabla ya Kufunga Ndoa

    Hiyo ni mipango ya mungu.
  11. McEM

    Naomba msaada wa wakili

    Kuna kesi ambayo inamuhusu kikongwe na tajiri feki mmoja hapa kilosa. Ina husu nyumba ya kikongwe ambayo huyu bwana anadai kuwa aliuziwa na mtoto wa kikongwe huyo ambaye kwa sasa ni marehemu. Kwa mara ya kwa kesi hii ilipelekwa mahakamani mwaka 1996 bila vielezo vyote. Na huyu bwana aliambiwa...
  12. McEM

    Bosi wa gereza (w) kilosa,amvunja mguu mke wake.

    Ili kuwa kati ya saa 6 na 7 usiku,wakati wakitokea kwenye matumizi wakiwa ndani ya gari kulikua na mabishano ndipo alipo msukuma na kudondoka chini na yeye kuondoka zake. Bahati alitoke msamaria (polisi) akampeleka polis na badae hospitali alikolazwa
  13. McEM

    Mshahara wa december kwa watumishi wa umma

    Mimi hapa sina mchango tuwaachie hazina.
  14. McEM

    Kuna ukweli kama ukioa mwanamke aliokuzidi umri?

    Inategemea balekhe yako uliinza kwa mtindo upi.
  15. McEM

    Serekali ituweke wazi mliki wa mashamba ya miyombo estate kilosa ni yupi.

    Takribani miaka 15 toka kampuni ya miyombo ilipo kufa tumepata wawekeza wawili wa kutukodishia mashamba ili tulime,mwaka huu tumezuiwa kufanya lote na kuambiwa kuna muwekezaji mpya anaye taka kulima zao la mtama. Sasa hii mikataba mbona haieleweki ikoje ?.
  16. McEM

    Ada za vipimo na mizani kwa mwaka ni sh. Ngapi ?

    Hivi malipo halali ya kulipia mizani kwa mwaka ni shilingi ngapi ?. kwani hawa maafisa vipimo wanatuchanganya vijijini,uta daiwa 18000 hadi 30000/= kwenye stakabazi ya malipo unakuta 8000/= ukihoji jibu hupati. Hii ina kuwaje wakuu au na kwenu ipo.
  17. McEM

    JF Morogoro MPOOOO?

    Hii mpya sija wahi kusikia,mgeni ana kuja kutembelea unamuonyesha chumba anacho lala binti ako. Jaribu kujitambua kabla ya kuchangia mada husika.
  18. McEM

    Tarehe hii ni ya muhimu kwako....02.10.2011

    Mimi naona haya makampuni yenye hii herufi inayo anza naT yana matajizo,tuwashauri wafute herufi hiyo.
Back
Top Bottom