Search results

  1. K

    Nashauri Zitto apunguziwe majukumu

    Acha wivu wa kike ndungu ukiona zitto hafiti nenda hata jimboni ukapambane umsaidie hata nafasi ya ubunge.
  2. K

    BOT Kutumia Mil 500 kupiga picha za vigogo ilikuaje??

    Naenda kujinyonga maana nimeshawahi kunyimwa hela ya field kwa madai kuwa serikali haina hela so nikiona hayo madudu bora nicommit suicide.
  3. K

    Sababu za polisi kuiba maiti usiku mochwari na kukamatwa Lissu Tarime

    "Ghusi mbulikya" miongoni mwa mambo ninayomkumbukia marehemu kamanda wangwe ni hilo hapo juu kuwa kuna siku kutakucha na neema itakuja Tarime.poleni wafiwa na makamanda wote wa chadema.
  4. K

  5. K

    Mbowe: Tutawasha moto Bunge la bajeti

    Uh! Watanzania tunatabia yakushabikia matukio badala ya matokeo, thread imekaa vizuri lkn vilaza wa ccm watakubali.
  6. K

    Godbless Lema aitikisa Tarime; Kagasheki adai anachochea vurugu

    Poleni sana mashujaa wa Tarime"marehem wangwe aliwahi kusema kwa kilugha nanukuu"ghusi mbulikya" akiwa namaana kutakuja kucha neema ipatikane Tarime, so let them kill people but they should know that "the freedom is coming 2moro"
  7. K

    Ni kweli wahitimu wa udom hawaitwi kwenye interview???

    manegement yachuo nayo nitatizo mbona wako kimya kwenye mambo yamsingi kama haya kwann hawajawahi kukanusha.
Back
Top Bottom