hatimaye HESLB waachia results za loan kwenye web yao, pande zangu mtandao unakaba kinazi, but najua soon ntafanikisha. all the best kwa wenye bahati zao na waliolala na bundi kazi ni kwao
kwa yeyote anayejua web ambayo naweza kudownload novel za huyu jamaa, naomba anisaidie coz nimesoma novel zake kadhaa na nimevutiwa sana na uandishi wake. nice time guys:flypig:
We jamaa ni noma coz umenikumbusha mbali sana. tuongeze na hii kibunguja,gozo(halizeti),ngoko(mkokoteni/kwama),mpafu(mlafi). kama ujaishi mbeya lazima upotezwe...
Na ndo maana kilio cha katiba mpya ndo msiba wa wenye uelewa. Huoni hiyo katiba bibi ilivyokaa kimaajabu. Kwa hiyo hata tume ikichakachua hakuna wakukosoa wala kuuliza, Nini sasa hiki si bora kuishi kwa kufuata mila na desturi kuliko hiyo katiba ya KIVAKU.
Dah! Umasikini wa mawazo ni ugonjwa usiopona, huko tunakoelekea watu watapigika kiasi kwamba hata elimu ya awali itabidi waombe mikopo. Me naamini kizazi cha jana na cha leo kama vingepata elimu bora basi hicho kizazi cha kesho ingekuwa ni bata tu coz wazazi wangekuwa wanajiweza but kwa mtindo...
Huu utata sasa unataka kwenda sawa na faza mdogo. But sio issue, the pursuit of happines ndo kila ki2, kaa vp cheki moyo unakwambia nini thn follow it.
This is really bad fellas, the world is said to be unfair but the degree of unfairness has crossed the borders in Tz. There's a great need for appliacation of people's power to overthrow this satanic government. Let's join our hands and say no to oppression and exploitation, by adopting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.