Kapiga wapi? Na raia wa Israel wangapi wamepigwa ukilinganisha na wale aliopoteza yeye?
Kusaidiwa ni jambo la kawaida kusaidiwa. Hata missiles za Iran zilikuwepo pia za Urusi, pia Iraq, Yemen na Hezbollah nao walisaidia pia.
Mleta mada acha siasa za upande. Hapo kwenye Israel is defenseless una proof ipi? So far Israel ameintercept kwa mafanikio makubwa attacks zote alizotumiwa.
Ni vizuri kufikiria at this moment busara zaiwaongoze wote wawili but so far Israel is by far more powerful kwa matokeo ya usiku wa...
Jifunze kwanza kilichotokea Kenya. Kenya sarafu dhidi ya Dola ilishuka thamani kwa mporomoko kutokana na fixing na pia wasiwasi kwamba Kenya ingeshindwa kulipa deni lake la Eurobond. Serikali ya Ruto ilikopa na kustructure deni la Eurobond hali iliyoondoa wasiwasi na kupelekea sarafu yao...
Wanalipia mtandaoni au wamekupa control number ulipie? Serikalini pote kwa sasa malipo ni kwa njia ya control number. Na kwa kiasi utaratibu huo umepunguza upigaji na utapeli.
Umri wangu huhitaji kuujua maana hausaidii lolote kuhusu hii kesi. Mauaji ya Bilionea yameelezewa sana katika mwenendo wa kesi yake. Sio suala jipya, sana sana haya maswali unayouliza hayaendani na kumbukumbu rasmi zilizopo juu ya suala la mauaji ya Msuya.
Ni wazi kesi ya Bilionea Msuya hujaifuatilia kabisa na unaleta stori za vijiweni. Jamaa aliuawawa kutokana masuala yake ya biashara hizo hizo za madini baada ya kuhitilafiana na wenzake.
Kwenye suala la huyu mama ni mazingira ndio yanamtia hatiani. Inawezekana marehemu Aneth pia alikuwa ana...
Maisha yana mkanganyiko sana. Ushauri wako wa kujiandaa na kustaafu ni muhimu sana na nashauri usijiandae ukifika miaka 45 unaweza kuwa umechelewa pia.
Jitahidi uanze kujiandaa pale unapoanza kazi ndio maana hata akiba ya pensheni huwekwa mara unapoanza kazi. Jitahidi sana kuwa na tabia ya...
Kwa kawaida ni heri ununue bati kwa vipimo. Bati la kipimo linakusaidia kununua exactly vipimo unavyotaka toka Kiwandani na kupunguza waste (vipande ambavyo huitaji). Pili kwa mfano unaezeka sehemu ya urefu wa mita 9 (za bundle itahitaji nne kufidia na overlap) wakati za kupima unaweza kununua...
kwa lay man haya uliyoandika hawezi kuelewa hasa habari ya vipimo vya Mpa. Na hata upimaji kwa siku itategemea kama simenti husika ni N au R grade. N ndio hufuata zaidi kanuni hiyo ya kupima uimara kwa siku hizo, R hupata uimara mapema zaidi.
Kwa kifupi 32.5 na 42.5 ni viwango vya uimara wa simenti ikikauka. 42.5 ni simenti imara zaidi kulinganisha na 32.5. Kwa kazi kubwa tumia 42.5 na 32.5 kwa ujenzi mwepesi.
Mabati kivipimo yana şifa kuu tatu;
1. Ujazo (thickness) au gauge (geji kiswahili cha mtaani). Hii ni kipimo cha unene wa bati ambapo bati nyingi ni kati ya gauge 26 na 32. Kadili number inavyokuwa kubwa ndio ujazo unapungua na bei pia huzidi kushuka. Unashauriwa kwa ujenzi wa majengo tumia...
Naiona changamoto ya conflict of interest. Lakini kwa kuanzia aongee na DED wake kwanza. Akishindwa amcheki RAS akibounce hapo kuna route ntakushauri later.
kwa kuwa jengo limeisha aandike barua ya kukabidhi kazi kwa sababu bila kukabidhi itaonekana kazi haijakubalika na kutoa mwanya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.