Search results

  1. M

    Vijana tujitathimini la sivyo tutaendelea kutumika

    Kwa muda mrefu sana tangu harakati za kisiasa zilipoanza nchini sikuwahi kupata fursa ya kuingia kwenye mitandao mbalimbali hasa jamii forum ambayo nilikuwa mdau mzuri sana, nashukuru nimerejea lakini kwa masikitiko makubwa nimekuta jamii forum ya Leo ni tofauti sana na jamii forum niliyoijua...
  2. M

    Baada ya Umeya wa Dar es Salaam na Uchaguzi wa Marudio Zanzibar sioni mbeleni Kick ya UKAWA

    A very small mind discuss people, moderate mind discuss events and GREAT MIND discuss issues.
  3. M

    Nakubali kushindwa katika uchaguzi wa BAVICHA Taifa, tusonge mbele

    Habari zenu wadau, ni matumain yangu kuwa ninyi wote ni wazima wenye afya njema na mnaendelea vizuri na harakati mbalimbali za maisha. Kipekee napenda kumshukuru sana mwenyezi MUNGU kwa rehema na hekima kuu aliyonijalia kwa kunipa nguvu, akili na juhudi nyingi kipindi chote ambacho...
  4. M

    Leadership without altitude is useless

    "You cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness". these words was spoken by Thomas sankala, this massage has given me a lesson while i was thinking of my country Tanzania and our life situation as tanzanians, its obvious we have a long journey toward changes or...
  5. M

    Leadership without altitude is useless

    “You cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness”. these words was spoken by Thomas sankala, this massage has given me a lesson while i was thinking of my country tanzania and our life situation as tanzanians, its obvious we have a long journey toward changes or...
  6. M

    Humphrey Polepole: Salamu Zangu Kwako

    thanx polepole
  7. M

    Kuelekea uchaguzi BAVICHA ngazi ya Taifa

    Remember " GREAT MIND DISCUSS ISSUES, A MODERATE MIND DISCUSS EVENT AND A SIMPLE MIND DISCUSS PEOPLE" "THINK AND UNITE"
  8. M

    UKAWA wamjibu rais Kikwete

    thanx kamanda mbowe
  9. M

    Ukweli juu ya uzushi uliotolewa kuhusu viongozi wa CHADEMA tawi la IFM

    NDUGU WATANZANIA NA WANA-CHADEMA WOTE MNAOPENDA MABADILIKO YA KWELI, NAPENDA KUTOA TAARIFA JUU YA UONGO, UZUSHI NA PROPAGANDA CHAFU ZINAZOFANYWA NA CCM, KUNA TAARIFA ZA UONGO ZIMEWEKWA JAMII FORUM ZIKIDAI ETI MIMI NA VIONGOZI WENZANGU WA CHADEMA TAWI LA IFM TUMEJIUNGA NA CCM LEO KITU...
  10. M

    Viongozi wa CHADEMA chuoni IFM wahamia CCM!

    Nimejibu upuuzi wenu wote ninyi watu wa ccm endeleeni kuchanganyikiwa hivohivo
  11. M

    Ukweli juu ya uzushi uliotolewa kuhusu viongozi wa CHADEMA tawi la IFM

    NDUGU WATANZANIA NA WANA-CHADEMA WOTE MNAOPENDA MABADILIKO YA KWELI, NAPENDA KUTOA TAARIFA JUU YA UONGO, UZUSHI NA PROPAGANDA CHAFU ZINAZOFANYWA NA CCM, KUNA TAARIFA ZA UONGO ZIMEWEKWA JAMII FORUM ZIKIDAI ETI MIMI NA VIONGOZI WENZANGU WA CHADEMA TAWI LA IFM TUMEJIUNGA NA CCM LEO KITU AMBACHO...
  12. M

    CHADEMA mmeanza lini kuwaonea huruma CCM?

    kweli wewe ni mwana CHADEMA Kweli? Kama ni kweli basi wewe uwezo wako ni mdogo sana ushauri jitahidi kufanya research kidogo tu utajua umuhim wa kura ya siri
  13. M

    Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    mkonda your right kijana vijana wa nchi hii ni lazima watambue kuwa nchi haiwezi kujengwa na mafisadi na wezi nadhani kwa hili umejifunza kutoka chadema hongera.
  14. M

    Sakata la Zitto na wenzake: CHADEMA amueni kusuka au kunyoa!

    akili yako ni ndogo hata nusu kilo haijafika chadema haiwezi kumchafua mtu jieshim
  15. M

    Mbowe ulitakiwa kusema kwamba wana CHADEMA muulizeni Zitto tulikoitoa CHADEMA

    a fool is a fool no matter what, makamanda ebu muwapuuze hawa vibaraka wa siasa mbowe atabaki kuwa nguzo muhimu ndani ya chama siku zote kwa taarifa zenu, na mtachonga sana cz yamewafika shingoni ukimuondoa zito na waasi wengine viongoz wetu wote tunawaamini ndo maana chama kimefika hapa...
  16. M

    Mzee wa Upako Jonh Mwambigija Kuimaliza CCM Mbeya

    safi hii ndio chadema
  17. M

    Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    nenda ukawe katibu wewe ili uongee ya kwako achana na chadema sio size yako wewe nenda lumumba na mimi nasema atafukuzwa
  18. M

    Kuuelewa Mgogoro wa CHADEMA na Kuumaliza Kuuelekea 2015

    nina mashaka sana na unachokikosoa sijui kama unajielewa vizuri ni mtu mwenye akili ndogo tu atakubaliana na wewe
  19. M

    Kuuelewa Mgogoro wa CHADEMA na Kuumaliza Kuuelekea 2015

    huu ndo ukweli napenda chama na nina imani na chama zito kwa sasa ni mamluki tu no discussion
Back
Top Bottom