Search results

  1. I

    Natafuta mchumba

    Sifa za mchumba: 1,Awe na Elimu ya kuanzia Chuo na kuendelea 2,Awe maji ya kunde(kwa rangi) 3, Awe mrefu kuanzia ft 4-5 4,Kabira lolote 5,Awe tayari kunipenda jinsi nilivyo 6.Dini (Muumini wa dhehebu la kikristu) 7,Awe mpenda watu HIZO NDIZO SIFA KUU. ATAYERIDHIA ANITAFUTE KWA +255759 065 348
  2. I

    Nahitaji kuwa na mwenzangu

    Inanipa wakati mgumu kumchagua ni yupi niwe naye ktk maisha yangu kama BABA na MAMA. Kinachonipa ugumu ni maisha niliyo yaexpirience hapa Chuoni ambapo kwa Asilimia mia moja ya wanawake, asilimia tano tu ndo anaweza kuishi na mpenzi mmoja kwa mda angalau wa mwaka mmoja na hata miwili. Ila...
  3. I

    Mahusiano ya kimapenzi

    Wapenzi wasomaji habari za kazi? Mimi kuna jambo linanitatiza juu ya suala zima la kimapenzi. Jambo hili ni juu ya watu wenye tabia ya kubadili wanaume (Kwa wasichana na wanawake) na wanawake (Kwa vijana na wazee). Hivi inakuwaje mtu anamiliki mpenzi zaidi ya mmoja na wakati mwingine zaidi ya...
Back
Top Bottom