Search results

  1. J

    Rais Magufuli kutua Bukoba kesho Jumapili, kuhutubia wananchi Jumatatu

    Wanyayangilo sio wahaya?? Dharau sio nzuri
  2. J

    Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

    Hakuna uzee hapo jide alikuwa 25 na gadner 32 wakati wanaoana
  3. J

    Jinsi walimu tulivyoanza kugawanywa kimatabaka awamu ya tano

    Atatangulizaje uzalendo wakati anakufa kwa njaa kama analipwa 10000 na nauli tu ni 14000.
  4. J

    Jinsi mwanamke anavyoweza kukuondosha kirahisi kabisa

    Ni hadithi nzuri ila ujumbe umewafikia wale wapigaji
  5. J

    Watu 14 wa Kundi la Taifa jipya, wakamatwa na jeshi la polisi

    Hawa ni watoto wanaotakiwa kuwa shule jamani . Mungu atusaidie
  6. J

    Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    Mpoto hana uwezo wa kumshinda mnyika.Mnyika yuko smart na anafaa kwenye jimbo letu
  7. J

    Naomba Ushauri

    Mi naona huyo bwana ana mtu pembeni kwanini anakuzuia kufikia kwake mpaka mfunge ndoa wakati nshapata mtoto?
  8. J

    Hodi jmn wanajf.

    Unaondoa sana herufi katika maneno yako
  9. J

    Hodi jmn wanajf.

    Karibu sana ila rekebisha staili ya uandishi wako
  10. J

    Kingereza ni kigumu kweli

    Hahaaa..tunauza matunda,juice na fruits
  11. J

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom ni wezi sana yaani hiyo cheka bombastic kifurushi muda wa maongezi umepunguzwa lakini hela ya manunuzi ni Ile ile.Kinachoniudhi kupitia kiasi ni mb yaani ukiangalia video hata sek 30 unaambiwa kifurushi cha mb kimeisha yaani mnakera sana.Pia wahudumu wa voda ni wezi na matapeli kama...
  12. J

    Picha za Lulu akiwa GESTI zavuja!

    Watanzania ni wa ajabu sana..kwani kuwa gesti ni kosa? Si kaenda kupumzika?
  13. J

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Ukipendwa na mwanafunzi ujue una nyota ya jela
  14. J

    Excuse me! Hii ndio siri kubwa ya supplimentary vyuoni

    Uongo mtupu...ukiwa na bidii unafaulu hata sisi tumetoka huko
  15. J

    Leo nimeamini tamthilia za filipino na mexico na bongo movies zinaharibu wanawake

    Hivi wanaume Ubabe mbona unawazidi?? Alishindwa nini kumwacha akaondoka? Kulikuwa na ulazima gani kumpiga vibao? Inakera sana
Back
Top Bottom