Ni harakati za kumuharibia Mheshimiwa kama ana chembe za Udini basi Mawaziri wangekuwa wengi Waisilamu kwani huko hakuna maamuzi MAKUBWA na mboni wakuu wa mikoa wengi Wakristo au ilo hamlioni acheni huo UDINI wenu, au ndo mawakala wa KUVURUGA Nchi.
ACHENI HUO UPUUZI WENU.
Ninavyojua mimi huwezi kuchambua mpira kiasi hicho halafu hukawa huna timu Ulaya, inavyoonyesha wewe kama si ARSENAL basi utakua CHERLSEA subiri uone maajabu ambayo wewe utayaelezea au kuyachambua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.