Search results

  1. N

    Tunapokea kero ambazo ungependa ziwasilishwe bungeni na wabunge wa CHADEMA

    Polisi wasitumike katika siasa na kuegemea upande wa chama chochote wanatia haibu na wanadharaulika na itafika kipindi polisi watashindwa kuishi uraiani na familia zao wajalibu kuona mbali
  2. N

    Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    Tatizo la Nape kwenye hili umejikanyaga sana,mala chadema mala mafisadi naomba tueleweshe hao mafisadi niwa ccm au nao niwa chadema?acha kukurupuka mtauwana wewnyewe kwa wenyewe na kuvuana ngozi mpaka mkome.au unaongelea waliomvua mwakyebe ngozi?lakini hao siyo magaidi
  3. N

    Mh. Pinda A Town

    Unauliza majibu?Lukuvi hakuwepo akatoe tamko na uko?
  4. N

    Inasikitisha Suleimani Kova kutojitambua hata kidogo

    Waliishaambiwa ukitaka kudanganya usimuhusishe Kova, hajui uongo analazimishwa na CCM
  5. N

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Habari za kwenye kanga hazitakuletea maendeleo,kama unataka ushauri kawafuate wahusika wapo ambao ni ben na zitto.wao wamekataa wewe unataka nini km vipi tengeneza na wewe move urushe yutube
  6. N

    Makada wa CCM kata ya Hai wahukumiwa kwa kosa la kuchana bendera ya CHADEMA

    Na Lage sialikuwepo anagombania mlingoti?au aliwatosa baada ya kutetewa na naibu spika bungeni kuwa hakuwepo lakini picha ikawaumbua.
  7. N

    CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    Aliyesa ya Lusinde katoa vielelezo sasa tatizo likowapi na wewe ukitoa vielelezo?alafu swala la fani ya mtu nadhani siyo tatizo ila tatizo ni uchagiaji hoja,kwani mchemba hajasoma mbona anaongea utumbo mwanzo mwisho?Vick kamata ni mcheza ngumi? mbona mziki wa sugu unawatoa povu?yule mganga wa...
  8. N

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    Kwani pamoja na kutaka kuchinja wananunua nyama kwani si geita ilidoda?
  9. N

    Maendeleo katika jamii

    Mh sisi kuweza kwetu ni kukubali kukatwa kodi kuwapa watawala na wao watutimizie matakwa yetu,hakuna cha pamoja tusidanganyane wao watatue matatizo maana kodi wanazo siyo kuwa matajiri wakishakua wanasiasa
  10. N

    Msafara wa Rais lazima uende kasi?

    Mimi nadhani ni misifa tu maana hakuna mwenye mpango wa kugonga au kufanya lolote wakati ana walinzi,umefika muda sasa waangalie usalama wao na waaskali pia wanaowapitisha watawauwa wote kisa misifa ambayo haina maana,nimeona hata magereza wameanza huo ujinga
  11. N

    Majonzi CHADEMA

    Atapona Mungu ni mwema, ngoja nimwambie Nape aende akapige naye picha
  12. N

    Salma Kikwete Cheo chake ni kipi kikatiba?

    Katika maisha yako ulisha muona mama maria nyerere,mama mkapa au mke wa mwinyi wanapitishwa na msafara askali wanaloa barabarani na wakati mwingine anaenda saloon,Tanzania imebaki masalia siyo linchi tena
  13. N

    Hongera ITV, Super Tv Channel no 1 Tanzania

    Mbona mnasahau inayotumia kodi zetu TBC??????:A S 39:
  14. N

    Chris Lukosi aelezea sababu zilizomfanya arudi CCM

    Sasa wewe muda wote unalea wale wazee unataka akuone muda gani wakati hao wazee ujawalisha kwanza?na ulipokuja ulifikia kwa nani maana inavyoelekea huna ndugu huku Tanzania.
  15. N

    Waziri Nchimbi anapothibitisha madai ya Mbunge Lema, sasa ni wazi nchi yetu inaelekea kubaya sana.

    Kama huna la kuchangia nyamaza,sasa hapo porojo ziko wapi kwa uelewa wako mdogo,usitake akili ndogo itawale kubwa,ukweli unabaki pale pale jeshi limeoza na hapo nikama amegusa kidogo maana vituoni walishageuka miungu watu.walishajiweka kwenye chama tawala wanajua hawafanywi chochote na...
  16. N

    TAARIFA: Maendeleo ya Afya ya Kibanda

    KOVA yuko tanganyika perkas anatafuta waliomtesa kibanda wakato wanaenda kutubu kwa mchungaji gwajima,fara kweli lakini malipo ni hapa duniani muache atumike kama condomu
  17. N

    Chadema kuna wakati mnaudhi kweli!

    Acha kabobo za kutunga wewe utakua unaundugu na mwigulu story zako hazina mashiko,inawezekana huyo ndugu yako ndo mwizi ndo hela zinamfanya aishi uko nje anauza kadi km njugu mwambie akome na wewe ukome kuleta upuuzi usiokuwa na mashiko,komaaaaa!
  18. N

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    ACHA UJINGA WEWE,uvamie maeneo ya watu kwa ujinga wako alafu umlalamikie halima?usitegemee msaada kwa ujinga wako na halima hayuko kutetea maovu na kura usimpe kama unatabia ya kuiba vya watu ukitegemea kuna mtu wa kukutetea,usipoteze muda wako kumsubili mbuge kwa upuuzi wako na ukome maana uko...
  19. N

    Polisi: Marehemu Ally Zona aligongwa na kitu kizito na sio Risasi

    ulisikia wapi kesi ya nyani unampelekea ngedere?walishajipanga cha kufanya lakini ipo siku mambo yatabadilika haya mambo wanayofanya yanamwisho,wote pale hawakuwa wajinga kiasi kwamba hawajui risasi,na hapohapo hicho kitu kigumu kikawaporomokea nw wengine 2?acheni ushoga polisi!!!!!!!!
  20. N

    Mwalimu huyu alipwe bei gani?

    kweli huyu jamaa katika wajinga ni namba moja na alipo kaitwa hajui lolote na ujinga alionao mpaka hajijui kuwa amejua kuandika kutokana na mwalimu na kujua kutumia computer kafundishwa na mwalimu ila namjua alishawahi kumpiga baba yake akafukuzwa kwao
Back
Top Bottom