Search results

  1. O

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mhe Rais Magufuli, Ni mapema mno kusema lolote kwa sasa LAKINI naomba niseme in advance. Tunajua kuwa Mhe. Kafulila amefungua kesi Mahakama Kuu huko Tabora kupinga matokeo ya ubunge katika jimbo lake. Endapo hatafaulu katika rufaa hiyo, nakuomba kwa kutumia mamlaka yako ya kikatiba uturudishie...
  2. O

    Nani nyuma ya kura fake uchaguzi huu?

    Ukijiuliza utapata majibu. Nani amekuwa nyuma ya kura fake ambazo zimekuwa zikikamatwa kipindi cha uchaguzi? Je Usalama wa Taifa hawajui kabisa ni nani ambaye amehusika na "USHENZI" huo? Hivi Rais Kikwete hajui lolote kuhusu kura hizo ambazo zote zilizokamatwa zimeonekana kumpigia Pombe...
  3. O

    Hata kama Fisadi, tutamchagua!!!

    EL ndo habari ya MUJINI! Kama anaumwa tutamtibu Marekani. Tulimuweza Profesa Tezi tutashindwa huyu? Big up EL, ULIPO TUPOOOOO!!
  4. O

    Padre Baptist Mapunda: Serikali ya CCM itaua watu wengi sana mwaka huu ili ibaki madarakani

    'I see! The Preaching had such a STRONG MESSAGE IN It. THAT IS THE KIND OF PRIEST WE NEED". You have said it very right. That's the kind of preaching needed for our time. Some Bishops and church leaders have been bribed to support evil in our country. I don't see how a religious leader can side...
  5. O

    Askofu Kilaini aitwa Dar es Salaam na Kanisa Katoliki

    Ziko njia nyingi za kusema kitu kile kile. Inategemea na uelewa. Hoja ni kufikisha ujumbe na siyo kutukana!
  6. O

    Askofu Kilaini aitwa Dar es Salaam na Kanisa Katoliki

    Ni kweli ni chaguo la mungu lakini si la Mungu. Soma vizuri 2 Wakorintho 4:3-4 utapata jibu kwa wepesi
  7. O

    Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

    Kama kuwa Mzalendo ni dhambi ya kutokufaa kuwa Rais basi dhambi hiyo anayo Mhe Mbatia! Nimewasalimia tu!!.....
  8. O

    Makabila makubwa vs Makabila madogo

    Wakwere ni kabila dogo sana. Huyo ambaye leo ni Rais kafanya nini la maana kwa miaka hii inayoelekea kumi? Wala sijui vision yake iliyomsukuma kuutaka urais ilikuwa ni nini? Labda kama ni ufisadi basi kafanikisha. Nothing else...
  9. O

    Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

    Kuna hili la sukari nalo. Juzi Mkurugenzi wa Superdol aliitwa Ikulu ili aombwe afanye kila liwezekanalo eti bomu hilo lisifike Bungeni! Kama mnakumbuka huyo ndiye anamiliki Kagera sugar na hivyo viwanda vya sukari vya Morogoro. Mie nasubiria kuona vile mchezo utakavyoenda bunge lijalo. Ila CCM...
  10. O

    Miezi sita ya Kikwete kuwa Madarakani

    Alitumia udini kuingia madarakani kwa kutoa ahadi za udini za Kadhi na OIC. Hilo wenye akili wanalijua. Amewaondoa watu wengi wa imani nyingine na kuweka watu wa dini yake. Ubaguzi wa elimu chuo kikuu cha Dodoma ni ushahidi tosha. Yako mengi mabaya ambayo amefanya ambayo yatajulikana...
  11. O

    Nauza gari

    Sawa. Uza tu!
  12. O

    Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

    Hiyo ni lugha ya mwizi aliyebobea. Najaribu kulinganisha nidhamu aliyokuwa nayo wakati wa kugombea urais mara ya kwanza na alivyo sasa. Kila mtu anajua kuwa hata urais hakushinda kwa haki bali alidhulumu ndiyo maana hakuna jipya lenye kumpa heshima au sifa ambalo amelifanya. Ameturudisha nyuma...
  13. O

    Kuanguka kwa Marekani hakuepukiki

    Juzi wakati Rais Obama alipotembelea Ulaya, aliwapa NATO $ 1 Bil kuwasaidia kwa ajili ya kupambana na ISIS. Hiyo pekee ni message kuwa Marekani wako vizuri kipesa. Hata hivyo nchi kama China na Ujerumani zinafuatia katika kuwa na chumi zenye nguvu. Viwanda vingi vilivyo nchi kama China, Mexico...
  14. O

    Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    Behind his arrogance there is mkuu wa kaya. They know what they have done but it is for their shame....
  15. O

    Kumbe Kikwete ndie aliehamrisha Pesa za ESCROW zitoke, tusipoteze muda, kuna giza hapa

    Tuliangalia sura. Tumeula wa chuya na mchanga.....
  16. O

    Kumbe Kikwete ndie aliehamrisha Pesa za ESCROW zitoke, tusipoteze muda, kuna giza hapa

    Huo ndio ukweli. Mwizi nambari wani ni Rais wetu aliyetajwa kuwa ni chaguo la Mungu. Nadhani alikuwa chaguo la mungu na siyo la Mungu. Ila za mwizi ni arobaini. Na ndiyo zimefika. Ni aibu kubwa kwa Taifa letu. Mtawala mbinafsi anayejinufaisha yeye na familia yake na mashoga zake. Kitaeleweka tu.....
  17. O

    Nini nafasi ya Usalama wa Taifa katika sakata hili la Escrow?

    Kama wizi huo unaweza ukafanyika na Usalama wa Taifa wasijue, basi Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa awajibishwe maana ametia aibu. Na kama alijua na hakuchukua hatua, hiyo pekee inatosha kujua na yeye ana mgao wake wa kutosha. Nitashangaa kama Rais hatakuwa kwenye hilo "dili". Wezi ni wengi kuliko...
  18. O

    Sakata la Escrow ni mpango wa mungu ili mapenzi yake yatimie

    Mungu akiondoa hekima kwa mtu tambua amekaribia kumnyuka chini. Wabunge wa CCM wamedhihirisha kutokuwa na hekima kabisa katika suala hili nyeti la Escrow. Waziri mkuu naye hajui la kufanya maana bila shaka wizi huu alikuwa anaujua na ana maslahi nao. Nilishangaa kumsikia anajigamba kwa habari ya...
  19. O

    Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    Unasifia mtu ambaye anahusika na Usalama wa Taifa. Wakati wizi huo unafanyika Usalama wa Taifa walikuwa wapi? Mpaka kiasi chote hicho kinakombwa hawakujua? System nzima ya Usalama imeoza na huyo unayemsifia akiwemo. Hawezi akajiosha katika hili. Hafai kuwa Rais. Ni wale wale tu....
Back
Top Bottom