Islamic banking, kuna islamic insurance, nk. Usilinganishe ukristo na uislam. Uislam ni mfumo kamili wa maisha. Ndio huku riba ni haramu na ukristo upo kimya
Ni Janja Janja ya Hospitali binafsi. Hospitali nyingi zinatajirika kupitia NHIF. Serikali iwe Bold kusimamia maamuzi mambo ya ulimboka yatajirudia wanataka kujinufaisha kupitia uhai wa watu.
Nimefuatilia marumbano yenu nimegundua wew ndio kiazi. Unaacha kujenga hoja unakimbilia matusi na upo so emotional. Yaani kama una elimu basi bado hujaelimika. Unalazimisha unachohisi wew ni sahihi wote tuone ni sahihi
Na ndio maana alikataa uteuzii kumbe kuna fedha za Bure nying sana. 7.2 B CWT wanafanyia nin. kuna haja ya serikali kuruhusu vyama vingine vya walimu ili kuruhusu walimu kuchagua wap wajiunge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.