Search results

  1. ROKY

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Natafuta spare zifuatazo za Pajero IO (GDI). Naomba kama mnazo, na unauza bei gani? a.) Brake lining za matairi ya nyuma. b.) Wheel cylinder. c.) Stabilizer link za matairi ya mbele. d.) Drum za matairi ya nyuma.
  2. ROKY

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Natafuta ice blocks molds kama hii hapa chini. Iwe medium size ya kutengeneza ice block ya kilo tano au kilo kumi.
  3. ROKY

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Natafuta 'upright freezer', mfano wake ni hu hapa.
  4. ROKY

    Nauza mashudu

    Hayo ni mashudu ya zao gani (mbegu za pamba, alizeti, sim-sim, etc) ?
  5. ROKY

    Nauza dawa ya ukungu kwenye mazao

    Ukungu kama huu hapa pia inatibu ?? Itanisaidia sana kama itatibu. Asante.
  6. ROKY

    Natafuta IBC tanks

    Asante sana. Nitatembelea huko.
  7. ROKY

    Natafuta IBC tanks

    Wadua, bado natafuta matenki haya. Mwenye kujua wapi nitayapata kwa bei nafuu anijuze. Asanteni.
  8. ROKY

    Natafuta IBC tanks

    Wadua, bado natafuta matenki haya. Mwenye kujua wapi nitayapata kwa bei nafuu anijuze. Asanteni.
  9. ROKY

    Chakula cha Samaki

    Eden Agriaqua limited.
  10. ROKY

    Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

    Hi, Vifaranga vya sato vina ukubwa gani?
  11. ROKY

    NAHITAJI FUNDI WA GYPSUM

    Mtafute fundi Juma : 0655-440059, yuko Dar.
  12. ROKY

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Habari, mimi nakushukuru sana mwalimu,niliagiza mizigo yangu kadhaa na umenifikishia salama katika hali nzuri.Kwa kweli nimefurahia huduma yako.Kingine ni vile unavyojibu ujumbe kwa haraka,nimependa sana.
  13. ROKY

    Msaada: Screen ya laptop inaonyesha hivi wakati wa ku-boot

    Naombeni msaada. Laptop yangu ya HP nikiiwasha, inaonyesha screen hii hapa. Tatizo ni nini?
  14. ROKY

    Nahitaji kuchimbiwa bwawa la kufugia samaki

    Mimi nahitaji vufaranga 1,000 vya kambale. Unauzaje? Mimi niko Dar.
  15. ROKY

    Umuhimu Wa kupima udongo (soil test)

    Kupima udongo ni shilingi ngapi ?
  16. ROKY

    Naomba msaada: Mipapai inaangusha maua yote, mapapai hayashiki

    Asante. Maji namwagilia ya kutosha, na mbolea niliweka, mwanzo niliweka mbolea ya ng'ombe, na baadaye nikaweka mbolea ya kuku. Nitaitafuta hiyo dawa. Thanks.
  17. ROKY

    Ugonjwa kwenye miti ya matunda (naomba msaada).

    Asanteni sana wadau wote mliochangia hapa. Nitafanyia kazi kila hoja. Thanks.
  18. ROKY

    Naomba msaada: Mipapai inaangusha maua yote, mapapai hayashiki

    Wadau, nina mipapai kadhaa ya kisasa, lakini ikitoa maua yanaanguka yote, na hakuna mapapai yanayoshika. Picha inaonyesha hapo chini. Je? Tatizo ni nini ? Msaada wadau..
  19. ROKY

    Ugonjwa kwenye miti ya matunda (naomba msaada).

    Asante sana mkuu. Je hizo dawa zina madhara yoyote kwenye matunda yalitoko kwenye miti husika ya matunda kwa sasa?? Maana nataka kutumia dawa hizo haraka na baadhi ya miti iliyoshambuliwa na wadudu hao ina matunda yanayokaribia kukomaa kama mapapai, maembe na mastafeli.
Back
Top Bottom