Search results

  1. mwachewangu

    Je, maandamano yatatatua matatizo?

    Ni raisi kujua wanaokupenda ila ni vigumu kujua wasiokupenda sababu uchanganyikana na wanaokupenda
  2. mwachewangu

    SIZONJE Ahadi si neno, Tunangoja hatima

    Mhm Sizonje.............Mi yangu macho kwenye hiyo hatima....
  3. mwachewangu

    Hongera JamiiForums, mmeiamsha World Vision Tanzania sasa inajisafisha

    Inabidi jf itoe namba ya watu kuchangia maendeleo yake na kuwepo kwake
  4. mwachewangu

    Zitto: Rais hana haki kuhalalisha nyimbo ya msanii yeyote kuchezwa au kutochezwa

    Ivi mbona mnachukulia wenzenu sio binadamu...kwani raisi afai kuzungumza kwa kile ambacho amekiona.... Pia aliyetoa tamko la kuachiwa ni Wizara ambayo basata iko chini ya iyo Wizara
  5. mwachewangu

    Zitto: Rais hana haki kuhalalisha nyimbo ya msanii yeyote kuchezwa au kutochezwa

    Mhm Zitto tutaanza kukuchoka sasa sio kila jambo unapaswa kuzungumza kwani raisi naye sio binadamu kusema kwamba awezi zungumza hisia zake... Alafu naomba niseme umesikiliza vizuri mwakyembe alivosema......
  6. mwachewangu

    Kuhusu Nay wa Mitego: Hivi tunajua kazi ya sanaa, tunajua kuwa polisi hawausiki katika hili.

    http://www.basata.go.tz/downloads/Kanuni_za_Baraza_la_Sanaa_la_Taifa.pdf
  7. mwachewangu

    Kuhusu Nay wa Mitego: Hivi tunajua kazi ya sanaa, tunajua kuwa polisi hawausiki katika hili.

    Katika mikataba ya kibiashara kipengele cha wapi mtashitakiana au amshitakiana Mmoja wenu akikiuka kinakuwepo wazi? Kwa maana yake kusema huo mkataba iko kipengere kipo... Na ata kama kipo bado amna kesi kuna mapungufu mengi sana...
  8. mwachewangu

    Kuhusu Nay wa Mitego: Hivi tunajua kazi ya sanaa, tunajua kuwa polisi hawausiki katika hili.

    Inabidi atueleze amekamatwa kwa kuvunja mkataba na basata au kwa ajiri ya nyimbo baada ya apo tumpe swali jingine maana naona amekuja kwa kupanic utafikiri ye ndo kaguswa kwa mawazo yake na tafsiri yake
  9. mwachewangu

    Kuhusu Nay wa Mitego: Hivi tunajua kazi ya sanaa, tunajua kuwa polisi hawausiki katika hili.

    Usipanic twende kwa hoja na wala si kupanic...umejibu vyema amevunja mkataba na basata? Kwa iyo maana yake basata ndo walitoa amri akamatwe na amekamatwa kwa makosa gani?? Maana naona umejibu kwa kupanic tuu... Je amekamatwa kwa kuvunja mkataba au kwa nyimbo?
  10. mwachewangu

    Kuhusu Nay wa Mitego: Hivi tunajua kazi ya sanaa, tunajua kuwa polisi hawausiki katika hili.

    Nimepata kusikiliza nyimbo ya nay wa mitego mara nyingi niwezavyo na nimeshangaa kusikia polisi ndo wamemkamata maswali ambayo nimejiuliza ni kuwa wanaelewa maana ya msanii na wamemkamata kwa kosa gani sababu kazi ya msanii ni kuimba juu ya kile ambacho wewe unafikiria yeye amuusu... Kwangu...
  11. mwachewangu

    Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Sasa ivi wanasahau daudi bashite..
  12. mwachewangu

    Nape Nnauye: No longer at ease

    Mhm anaacha mwizi anatolewa mwingine aya tusubiri 2020 tuu.... Ur vote will speak.. Ni Tanzania pekee mwanasiasa anakuwa juu ya wananchi anaposhinda
  13. mwachewangu

    CCM lazima tujisahihishe, tumezidiwa mbinu

    Ni Tanzania pekee wanazungumza siasa kila mara ata baada ya uchaguzi kuisha...
  14. mwachewangu

    Watu wako walilie msaada mpaka wakati gani?

    Jambo ambalo nimelishika kwako ni ili "Whoever loves money never has money enough; whoever loves wealth is never satisfied with his income. This too is meaningless" :):):):):)o_Oo_Oo_O
  15. mwachewangu

    Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    Why Tanzania? Why wewe Alipokaribia zaidi na kuuona ule mji, Yesu aliulilia "akisema: "Laiti ungelijua leo hii yale yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako. 43 Maana siku zaja ambapo adui zako watakuzungushia maboma, watakuzingira na kukusonga pande zote.44 Watakupondaponda wewe...
  16. mwachewangu

    Viongozi wa kisiasa wanaweza kujifunza kwa Rais wa Marekani

    Tokea Donald Trump haingie madarakani kila mtu amekuwa akifatilia kuona nini ambacho marekani inafanya. Kila ambacho viongozi wa wetu wa siasa ningependa ijufunze kwa kuendeleza nchi yetu ni kauli ya bilionea wa Mexico Carlos Slim alivyomuelezea Raisi wa Marekani " "he urged others to read it...
  17. mwachewangu

    Wanaume ndo wahanga wakubwa katika mapenzi?

    Ili nalo ni neno apa kwenye majukumu uwa in shida sanaa
  18. mwachewangu

    Wanaume ndo wahanga wakubwa katika mapenzi?

    Basi tuchukulie wanAume sio wavumilivu na shida za mapenzi maana ukiangalia ata umu jf malalamiko mengi ni ya wanaume..Mara mpenzi wangu ivi Mara vile...
Back
Top Bottom