Rejaa barua za Madaktari pls kwa kuwa hawapingi mtihani ila wanapinga hujuma zinazofanywa kwao. Ni kuekeze tu Madaktari bingwa ndio wenye kuweza kumthibitisha mtu kuwa daktari na si mtihani wa MCT. Tuwaache madaktari bingwa watusaidie kupata Daktari bora na kumhakiki Daktari na si maswali 200 ya...
Nina nani kakuambia wamefeli? Wewe unajua Daktari katika mtihani huo wa hujuma anatakiwa afaulu kwa marks ngapi? Na je unaweza kuekeza ni kwanini matokeo ya usiri mkubwa? Na je unaweza kusema ni kwanini Daktari akakata rufaa hawezi kuoneshwa mtihani wake? Kuna hujuma na sio watu kufeli mtihani.
Endelea kusoma, lakini pia MCT wana usiri mkubwa na hawana Marks za kueleweke. Emu soma na pita hizi attachment chini. Kinachotafuta na madaktari ni walau wapate leseni maana kama uweza wa kutibu wanao mkubwa Sasa hizo zingine zinaitwa ombaomba
Ni vyema ukaweka mizaha pembeni, kada hii ni muhimu sana kama sio Leo kesho utakutana na daktari, tafuta kuelewa changamoto walizo nazo na uwasaidei kusema Ili waweze kukuza ufanisi wao kesho ukikutana nao waweze kukuhudumia vyema
Sasa hili haliwezi kudhibitiwa na mtihani wa theory wa MCT ndio sababu tunataka matatizo haya yatafutiwe njia sahihi ya kuyatatua na sio mtihani wa MCT
Unaongea Yale Yale na unatakiwa kujua hizo 8hrs ni kwa hospital ipi? Hospital zote za Rufaa kasoro MOI wanawategemea internship kila kitu na kila wakati. Mtingo wa internship ni zaidi ya sounds watu wanatinga masaa 20 harafu wewe unasema 8. Harafu hakuna Daktari anaeweza kuwa bora kwa hospital...
Reja hoja za Madaktari na Rejea barua zote ninazokuwekea hapa, Mtihani wa MCT hauna ufumbuzi wa hayo unayoyasema. Mtihani wao ni hujuma. Ni hujuma kwa sababu madaktari wametibu watu na kuisaidia kurejesha afya za watu . Hawa madaktari tunaowaongelea hawata hizo changamoto ulizoziainisha na...
Huelewi, tafuta kuelewa na usilinganishe mafuta na maji eti kwa sababu vyote ni vimiminika. Ogopa sana kama hujuma itatawala kwa madaktari. Sikikiza na uelewe hoja za Madaktari kisha Pinga hujuma za MCT
Kinachoendeka leo nchini ni udhalilishaji mkubwa wa madaktari, tatizo watanzania wengi hawajui kada hii ya udaktari ndio sababu tunamuomba rais aingilie kati na atume nafasi tueleze mambo mengi ya ajabu ambayo ni aibu kuyaainisha hapa.
MCT wanadhakikisha madaktari na waadhalilisha Madaktari...
Rejea comments zote utajifunza kitu.
Kwanza ni vyema ujue huo mtihani hauna uwazi ukifaulu na ukifanyiwa hujuma huta jua. Dr Mzava anasema ukifeli umefeli na ukifaulu vizuri umefeli, Sasa Je huoni wanaofeli ni wale walio na uwezo mkubwa ila wamefeli kwa sababu ya uwezo wao mkubwa? Wewe unaachaje...
Hatuungi wala hatusemi mtihani ufutwe, mtihani ujue nyakati na mtihani ufanyike baada ya mtu kumaliza chuo na si vinginevyo. Muda sahihi kwa mtihani wa MCT ni baada tu ya mitihani ya chuo na kabla mtu ajaapa kuwa dakatari
Wamefaulu kwa sababu waliokuwa na nafasi ya kujisomea, Ili uweze kufaulu mtihani wao basi ni lazima upuuze practice. Kama ukiamua kuacha kuasaidia wagonjwa wakati wa internship, ukiamua kukwepa kufanya clinical rotations wakati wa internship na kutokuzingatia kukutana na wagonjwa na kuwawekea...
SI Madaktari kuwa na viwango hafifu katika utoaji tiba, jamani Daktari hawezi kumtibu mgonjwa pasipo kujua amsaidie vipi, kama Kuna changamoto kwa Daktari juu ya kutibu Daktari huyo huwaarifi madaktari wengine Ili kupata ilimu kupitia kwa na hivyo madaktari bingwa ndio wanao shirikishwa, ni...
Hakuna anaetaka mtihani ufutwe, mtihani uendelee kuwepo lakini uwepo kwa wakati sahihi, mwanafunzi kabla hajawa Daktari apatiwe mtihani huo baada tu ya kamaliza chuo. Apewe mtihani na akifauku ndio aapishwe kuwa daktari hii itafanya wanafunzi wahakikishe wanajiandaa vizuri kuwa madaktari. Na...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hizo nchi unazoziongelea na sisi hapa tz, hapa kuna hila katika mtihani. Kuna mambo hata sio ya kundika hapa, intern mtu anafanya kazi masaa 20 kwa siku, sijui kama unalijua hili. Harafu akiwa anakomaa kuokoa maisha ya ndugu zako na ya watanzania kwa mwaka mzima...
Hujui unachosema, tafuta Daktari hata mmoja muathirika wa hujuma hizi akueleze.
Utakutana na watu wengi wa michongo lakini sio Daktari, Daktari ni mtu anaewajibikia afya za watu na mwenye kuwajibika ili watu waishi. Hakuna Daktari anaeweza kumtibu bila kujua afanye nini Ili mgonjwa apate kupona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.