Search results

  1. Bright Smart

    Anahitajika mtu aliyesoma kozi ya Industrial Chemist

    Mimi nimetaja INDUSTRIAL CHEMIST, sasa hayo ya industry chemist sijui umeyatolea wapi!! Na mambo ya kiingereza kuwa shughuli pevu unahitaji tukupe ualimu wa tuition!!
  2. Bright Smart

    Anahitajika mtu aliyesoma kozi ya Industrial Chemist

    Tuma kwenye email tajwa kwenye post.
  3. Bright Smart

    Anahitajika mtu aliyesoma kozi ya Industrial Chemist

    Habari wanajamvi, Nahitaji mtu aliyesoma kozi ya Idustrial Chemist. Kwa aliye interested a atume CV yake kwenye e-mail address: arnoldmuganyizi@ymail.com kwa mawasiliano zaidi.
  4. Bright Smart

    KISUTU: Ndama Shabani Hussein (Pedeshee Ndama) jela miaka 5 au faini 200 milioni

    Kwa kosa kama la kwake sheria ya Tanzania namba 12 ya mwaka 2006 ya anti money laundering sehemu ya 3 kifungu cha 12&13 adhabu yake ni kifungo kisichozidi miaka 10 na kutopungua miaka 5 jela au faini isiyozidi million 500 au kupungua million 100 za kitanzania.
  5. Bright Smart

    Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo updates

    Duh!! yaani majibu yote yaliyotolewa hakuna hata moja linalo jibu maswali yangu, hivi jamii forums bado ni ya Great Thinkers kama zamani!!?
  6. Bright Smart

    Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo updates

    Wakuu naomba kujua kwa wale wenye ufahamu. Kuhusu ujenzi wa bandari ya Bagamoyo maendeleo yake yamefikia wapi. Na pia naomba kujuzwa kuhusu maendeleo ya Bagamoyo Park project yamefikia wapi!! Na pia vp nchi za Marekani na India zina mpango wowote wa kuzuia hizi project za Bagamoyo port na...
  7. Bright Smart

    Wazungu kumbe nao wana michepuko

    Na Lemutuz anamsubiri kwa hamu[emoji15] [emoji15]
  8. Bright Smart

    Mtei: Uongozi wa Rais Magufuli ni kama wa Mwl. Nyerere

    Mzee anataka ka position kama ka Mrema[emoji28] [emoji28] [emoji28]
  9. Bright Smart

    Mtei: Uongozi wa Rais Magufuli ni kama wa Mwl. Nyerere

    Mzee kaona Mrema kala shavu dizaini na yeye anajiongeza
  10. Bright Smart

    NGOs za mataifa ya Ulaya na Marekani

    Kila..za katika ubora wako[emoji15] [emoji15]
  11. Bright Smart

    NGOs za mataifa ya Ulaya na Marekani

    Kama huna la kuchangia kaa pembeni, ndo umeandika upuuzi gani huu!! au na wewe unataka uonekani umo levet na Sumbuwanga ndo nini!!!? wewe ndo wale kina Shilole
  12. Bright Smart

    NGOs za mataifa ya Ulaya na Marekani

    Kama ule msaada uliotolewa na marekani wa dola 800 million walitupatia ili wao wapate faida gani in return!!?
  13. Bright Smart

    NGOs za mataifa ya Ulaya na Marekani

    Asante mkuu, ningependa kujua kwanini wanafanya hivyo!!
  14. Bright Smart

    NGOs za mataifa ya Ulaya na Marekani

    Wakuu hivi hizi NGOs za kutoka mataifa ya ulaya na marekani zina mchango gani na manufaa gani kwa Taifa letu, naomba mawazo yenu.
  15. Bright Smart

    Msaada wa 800m USD wa Marekani kwa Tanzania

    Habari wakuu, American ambassador gave 800 million USD donation to Tanzania, nilitaka kujua what benefit did Tanzanian government give to American side?, and what effect does it have on Chinese interest in investing to Tanzania. Kwa wale wenye uelewa wa hili tafadhali naomba mawazo yenu.
  16. Bright Smart

    BABU MTATA

    Babu wa Big Results Now huyo
  17. Bright Smart

    Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    Utakuta hata hao waliotoa hiyo ahadi ya kuchangia trillion 3,hata wakijikusanya wote utajiri wao haufiki hata million 100 yaani hizo mbwembwe kama Hashim Rungwe alivyokua anajifagilia kushinda uraisi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  18. Bright Smart

    Pale askari anapochezea mfuwenii

    Sasa yeye anapiga mikwara mwenzake kampatia live performance[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom