pole sana mydear ila si ww tu.....mm najiskia ivo mara nyingi sana na nikiwa hivo naitoa hiyo hali kwa kulala tu hata nikiwa job ntajitahidi nitafute chamber iliyojificha nalala ila kusema kweli iyo hali inaboa sana
Jamani mi binafsi naona binti wa miaka 18 hawezi kubakwa...alipenda mwenyewe then anataka kumbambikia kesi mzeewa watu,,,,ili wambembeleze walau kw mil kadhaa ili asiende mahakamani.....MIAKA 18 ANGEWEZA KUMSUKUMA HUYO MZEE AKAANGUKIA HUKO.....MANAKE MI DK SLAA NAMUONA MZEE IL ANA MIAKA 63 AFU...
polene sana ..ila tafuteni mtu mzima aongee na baba na mama kila mtu kwa wakati wake.......msikae nalo wenyewe kwan mnaweza kuwapoteza wote..pamoja na yote huyo bado ni baba yenu ...amri za Mungu zipo kumi kavunja moja.........so tok to him asije akafa kwa presha hamjuia yalimsibu yapi..hakuna...
pole kaka....Muombe tu Mungu na si kila ushauri hapa una maana pembua kuhusu kumfanyia jeuri sidhani kama itakuwa ni busara sana.....tok to her....asipokusikia mtoe dukani weka kijana akiwa jueri zaidi wahusishe wazazi kumbuka mna mtoto sasa maamuzi mengine huwa ni mabaya kwan huwezi jua nae...
mi nadhani kwa dunia ya sasa kuoa ndio bahati ila kuolewa wala hata sio bahati kwan wadada wengi siku hizi ilo swala la ndoa hata hawatki kusikia...so mtu akivaa izo pete ni kujifurahisha
asante kwa ushauri...je kuku huko porini management yake haiwezi kuwa ngumu kwan mm nakaa mbali n kisarawe then ninafanya kazi niko occupied 24/7 muda ninaoupata ni jmosi mchana na jpili tu.
Salaaam wana jamii forum...nina mtaji wa sh mil 5 nina ideas kama mbili hivi je nifuge nguruwe kule shambani kisarawe au niungane na best yangu tufungue duka la nguo za watoto.
Natumaini mtanipa ushirikiano na ushauri wa kutosha.
Habari wapendwa wote wa jamii forum...nawashukuru sana na michango yenu mbalimbali hasa katika kujikwamua na hii haili ngumu...
Mmi nina hela yangu kidogo kama mil 5 hivi na nina eneo la shamba huko kisarawe sas nilikuwa naomba ushauri kwa wazoefu je...nijiingize kwe kufuga au nianzishe duk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.