Search results

  1. M

    Neleja na giza lake

    Ngeleja anazidi kutugawia giza badala ya kutupa umeme! kinachonishangaza katibu mkuu wa wizara anatuhumiwa kwa kukusanya pesa za kuwahoga wabunge ili wapitishe bajeti lakini eti Ngeleja yeye safi!!! hivi huyu Jairo alikuwa anafanya kwa niaba ya nani na ili mfurahishe nani kama si Kikwete na...
  2. M

    Namzimia sn huyu

    how sure are you that she is innocent!!!!!!!!!!!!! by just looking at her!!!!!!!! you are lost
  3. M

    MUGABE: Hatutaachia raslimali kwa wazungu

    wewe umechoka kabisa hawa wa tz wanaotawala kwa hiyo miaka kumi nakuondoka madarakani wakiwa wameuza nchi ndo unawafagilia? ona wanavyoua wananchi nyamongo - tarime wakitetea hao wazungu wasio na manufaa yoyote kwa wazawa
  4. M

    Namzimia sn huyu

    umemtamani tu kwa kumwangalia tu. kwanza mke bora haangaliwi usoni tu.
  5. M

    Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

    huu ni mfumo wa vyombo vyetu vya usalama ndo unatuathiri!!!! polis wanafanya kile ccm inachowaagiza kufanya!!!!!!!!!!! maamuzi yataaksi matakwa na mahitaji ya ccm tu. ila haya yana mwisho wake ambao umekaribia
  6. M

    Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

    tumechoka kusimamiwa na vyombo vya usalama ambavyo havina maamuzi ya kujitegemea eti kufanya maamuzi ni lazima ccm iulizwe!!!!!!!!!!!! your days are numbered seriously
  7. M

    Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

    RPC ni wa CCM na watoa vibali wako chini ya CCM unatarajia kibali kitatolewa katika mazingira hayo?
  8. M

    Chadema huu ni msimu wa kilimo, waache watu walime kwanza!

    iwe wakati wa kiangazi wakati wa mvua harakati zitaendelea maana huu ndo wakati wa mabadiliko!!!!!!!!!!!! mabadiliko yasubiri kiangazi!!!!!!!!!!!!!!!! mbona ninyi baada ya kujivua magamba mnaendelea kujitangaza kila mkoa kuwa mmejivua magamba na mnaendelea kustawi kama mafisadi zaidi????????????
  9. M

    COCACOLA or PEPSI

    chukua soda moja ya coka au pepsi halafu mimina kwenye sinki au choo kilichoweka sugu halafu baada ya dakika tano kasugue utaona matokeo yake na hivyo ndivyo inavyofanya mwilini!!!!!
  10. M

    Movie gani kali! OSAMA ama AMBILIKILE?

    movie zote uzushi tu
  11. M

    Unapenda hotuba ipi ya Hayati Nyerere au ya JK ya sas?

    babu nyerere mzee wa vitendo huyu jk kazi yake vijembe!!!!!!! sasa vijembe vina utekelezaji? ndo maana hana jipya kwa kipindi chake chote sijui atakumbukwa kwa lipi! bora mkapa tunamkumbuka kwa kujenga barabara kwa kiwango alichoweza? huyu jk katiba tu imeisha mtoa jasho.
  12. M

    MAONI: Shule za kata zifikiriwe upya

    ccm wanajitengenezea mabomu na muda si mrefu yatawalipukia acha yajazane kwa miaka mitatu mfululizo halafu matokea yake watayaona tu kupitia hao wanaomaliza kidato cha nne na sita wakiwa na ziro huku wakiachwa bila msaada wowote.
  13. M

    UVCCM na Zidumu fikra za mwenyekiti mpaka Udom

    kweli chuo cha ccm na wanaosoma huko wote wamekuwa wana ccm! lazima mfike mahala elimu yenu iwakomboe si kumchukulia kikwete fomu ya kuwania urais halafu mnaanza kusema oh hakuna maji chuo oh mikopo hatupewi! ninyi ni wasomi wa namana gani mnao kubali kirahisi kuyumbishwaa na mfumo bila...
  14. M

    CIA kuweka picha za mauaji ya Osama hadharani leo

    mbona ya saddam hussein walionesha walivyomnyonga hii kama ni kweli kwanini wanaficha? lazima wadadisi wa mabo tutilie mashaka hili tukio la mauaji ya ossama
  15. M

    Ridhiwani awapa siku 7 Dr. Slaa na Mtikila kukanusha utajiri wake

    mbona hata huo umilionea hakuwa nao kabla ya upresde wa mdingi?
  16. M

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    hata angekuwa kijana wa miaka 25 ccm wote wamechoka na kuzeeka akili si kimaubile tu!!!
Back
Top Bottom