Search results

  1. M

    Nauliza nape ametumwa na nani na je anajenga au anaua ataweza kukausha bahari ya ufisadi ccm

    Ninashangaa sana kabwana mdogo kametoka masasi kameibukia dodoma, ccm kuna bahari ya ufisadi Nape anakuja na dekio na ameanza kunywea mara ooo hatukutoa siku tisin mara ooo hatuna majina sasa yatakutokea puani mtoto
  2. M

    huyu ndiye mhe LEMA JE ANAFAA KUWA KIONGOZI?

    Lema ni mashine ya kutwanga na kukoboa mwacheni wanaotetea taifa hili wanauchungu sana mpaka tuwafumbue macho ndio muone hasira na wala rushwa taifa linateketea tunawahitaji wakina lema kama kumi tuhara kishe ukombozi yuko na watu makini
Back
Top Bottom