ni kweli ccm haiisaidii act lakini wanaccm wanaisaidia ccm kwa fedha na ushabiki. wanaccm watakiua chama chao kwa kukitetea chama kingine. fisadi mamvii, fisadi rostam na fisadi kalamagi ndio wafadhili wa muslim brotherhood.
ni kwa namna gani chadema waliibomoa cuf? majimbo mangapi ya cuf yalipokwa na chadema? nimejisahau, wewe mwenzangu ulipwa kwa kushinda mtandaoni na kupost ujinga.
post za kizuzu. eti kuisambaratisha cuf? chadema iliisambaratisha ccm. hakuna jimbo hata moja la cuf lilipokwa na chadema, chadema walichukua majimbo yaliyokuwa yanamilikiwa na ccm. huu upumbavu wako jitahidi kuuficha. kama una data, niambie majimbo mangapi ya cuf yalichukuliwa na chadema?
hakuna ushabiki hapa. watu waliapa kumshughulikia mzee mengi. kazi ndio imeanza. wataelewa tu wale wenye akili za kuunganisha dots, lakini sitegemei mazuzu waelewe.
Kazi imeanza jana.
Wafanyakazi wake watatu wa kiwanda cha bonite wameuawa kwa risasi. Pesa walizokuwa wanapeleka benki zimeibiwa. Ndio kushughulikiwa kwenyewe. Usishangae kesho ukasikia kiwanda kimeungua kwa moto.
Halafu mods msiunganishe huu uzi aisee. Sitaki matani. Siku zote mimi huchangia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.