Search results

  1. Makoye Matale

    Kwako mkurugenzi wa PCCB

    Mjinga akierevuka mwerevu yuko mashakani. Nshuntama watu.
  2. Makoye Matale

    Kwako mkurugenzi wa PCCB

    Haiwezi kuitwa rushwa. Hata shetani akikuijia hujinadi kama malaika lakini ukweli unabaki palepale.
  3. Makoye Matale

    Kwako mkurugenzi wa PCCB

    Kama kuna tatizo watu wakae kimya?
  4. Makoye Matale

    Kwako mkurugenzi wa PCCB

    Mkuu kwa enzi hizi bado unaogopa kuandika ukweli? Weka majina hapa wenye ujasiri wayafikishe viinginevyo utaonekana unapiga majungu tu.
  5. Makoye Matale

    Watumishi wote wa umma waliotia nia kuondolewa katika Payroll ya Serikali Julai 2015

    Wakuu naomba mwenye nakala ya huo waraka auweke hapa jamvini.
  6. Makoye Matale

    Manara: Ipo siku nitakuwa Rais wa nchi

    Hii siyo nzuri Mkuu. Ana haki ya kugombea kama Mtanzania mwingine yeyote. Nina wasiwasi na CV yake kama itamruhusu kugombea uraias lakini siyo mambo mengine kama hayo uliyoyataja. Binafsi siwezi kumpa kura yangu maana mikia fc yenyewe ameshindwa kuingoza, ataweza kuongoza nchi yenye mamilioni...
  7. Makoye Matale

    TFF badilisheni kanuni mwakilishi wetu kombe la Shirikisho CAF mwaka huu!

    Na mimi ningependa iwe hivyo lakini bahati mbaya hawataing'oa Mtibwa Sugar ng'oooo.
  8. Makoye Matale

    Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

    Mtoa mada kaingia mitini baada ya kugundua makosa yake. Nadhani itapendeza sana hii mada tuifunge kwani haina mashiko tena.
  9. Makoye Matale

    Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

    Kuwa makini hapa ni JF, the home of Great Thinkers! If you are a great sinker, just go away, you are wrongly placed.
  10. Makoye Matale

    Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

    Hapa nakuvua nguo mpaka ujione choo kabisa, mjinga wewe!
  11. Makoye Matale

    Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

    Wazee wa kufoji! Baada ya kukubuhu katika kufoji mikataba ya wachezaji sasa wameanza kufoji data za Kimataifa: 1. Al Ahly (Egypt) – Market Value : € 19,25 m 2. Esperance Sportive de Tunis (Tunisia) – Market Value : € 12,75 m 3. Club Africain (Tunisia) – Market Value : € 11,80 m 4. Kaizer...
  12. Makoye Matale

    Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

    Kawadanganye mbumbumbu wenzako huko! Kwenye hiyo Mwanaspoti App, mbumbumbu yeyote anaweza kuposti chochote. Website ya CAF (CAF - Home) haina kitu kama hicho. Hata hivyo ukweli ni huu hapa: Who is No.1? Here are the top ten RICHEST football clubs in Africa Kwa kupitia orodha hiyo hapo juu...
  13. Makoye Matale

    Nauona mwisho wa Simba na Yanga

    Maadui wetu sisi Yanga hawako kusini mwa Afrika bali wako Kaskazini mwa Afrika. Hao Rollers kutoka Botswana watakiona cha mtema kuni lazima wakae! Daima Mbele Nyuma Mikia.
  14. Makoye Matale

    Ni sheria ipi ilifuta fao la kujitoa?

    Kwa mwendo huu watumishi wengi wasioridhishwa na mazingira ya kazi watakuwa na ujasiri wa kuacha kazi kwani pensheni iliyokuwa inawabwetesha kuendelea na kazi haina maana tena.
  15. Makoye Matale

    David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA. Apoteza imani na upinzani katika kupambana na ufisadi

    Mwana hatauchukua uovu wa mzazi wake wala mzazi hatauchukua uovu wa mwanaye. Vivyo hivyo mume hatauchukua uovu wa mkewe wala mke hatauchukua uovu wa mumewe. Hapa ni kila mtu kupambana tu na hali yake.
  16. Makoye Matale

    TFF yaiomba Simba ufafanuzi juu ya kauli ya Haji Manara dhidi ya waamuzi.

    Huyu jamaa alishafungiwa na TFF lakini TFF hiyo hiyo ikamrejesha kwenye nafasi yake, let them bear the consequences! Nasaini auti niwaache wafu wazike wafu wao.
  17. Makoye Matale

    Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

    Manji hana sifa Mkuu. Back to the point. Bakhressa (SSB) hana jipya, amekuwa na Azam kwa kipindi kirefu, hatujaona mabadiliko ya kweli ya soka hasa uwanjani tukiachana nahayo majim na maswimingi puu. Simba watumie principle hii: Ni heri ya Shetani unayemjua (MO) kuliko Malaika (SSB)...
  18. Makoye Matale

    KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

    Kuunga mkono siyo lazima watoe kauli, wanaunga mkono BY CONDUCT. Dr. Shein ndiye Rais wa Zanzibar.
  19. Makoye Matale

    Hans Poppe aunga mkono kutafutwa Kocha mpya Simba SC, asema timu haijawa na muunganiko mzuri

    Soka la Bongo ni pasua kichwa. Tuwaache wafu wazike wafu wao.
Back
Top Bottom