Search results

  1. K

    Lady Jaydee amemuimba X wake baada ya kufulia na kuwa chapombe wa taifa?

    Wewe binafsi umeshapata shida na Wazaramo kaka tangu ufike Dar Es Salaam?
  2. K

    Kuna faida zozote za kumtumia Architect? Ama ni kupoteza pesa tu?

    Architects wengi Bongo ni matapeli na makanjanja tu. Kama kuna mmoja anaitwa sallug ni tapeli. Ukiwa na Engineer mzuri uhitaji hao matapeli.
  3. K

    Jirani anataka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu

    Kaka pole Sana, haya yalishanikuta jirani alikuta tayari nimeshamaliza nyumba yangu safi na ukuta safi pande zote nne. Akajenga wa kwake na upande mmoja akatumia wa kwangu bure kabisa, sasa uwanja wangu hupo chini na kwake ni juu, kwa kweli nilijenga kozi za tofari zaidi ya 9 akasema niongeze...
  4. K

    Awamu ya Sita Watu wanajenga, mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni

    Yaani waache wapige mikelele mara Dipi Woodi !! Sisi tunaweka mijengo tu.
  5. K

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete agomea eneo la ekari 50, ataka ekari 500

    Mzee Kikwete anaona mbali hata Chuo Kikuu cha MUHAS ilikua Campus ya Chuo Kikuu Cha DSM. Mbele ya safari huko Campus hiyo ya Mbeya inaweza kuja kuwa Chuo Kikuu.
  6. K

    Tusipotoshe, ukweli ni kwamba Samia Suluhu ni Rais wa Kikatiba na si Rais wa kuchaguliwa

    Mzee umesahau kuwa katika uchaguzi wa Rais, tunachagua rais na MGOMBEA MWENZA. Maana yake MGOMBEA MWENZA naye anapigiwa kura za Rais ndo maana Rais akishinda na yeye anakuwa Rais Mtarajiwa moja kwa moja kama kuna lolote litakalotokea kwa Rais. Hivyo basi, Rais Samia ndiye Rais kwa sasa bila...
  7. K

    #COVID19 Hospitali ya Bugando yakumbwa na upungufu wa mitungi ya Oksijeni kwa Wagonjwa wa Kupumua

    Mkuu ukiona mtu anafanya joke na UVIKO-19 ujue haujampitia au haujapitia familia yake. Ebu aende ICU akaone wagonjwa wenye UVIKO-19 wanapumuaje, alafu aje hapa aseme ni mafua tu. Hii kitu isikie tu mkuu kwa mbali. Usiombe ikutokee au itokee wazizi wako alafu uambiwe yuko kwenye ventilator.
  8. K

    Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Jos Mtambo mzee wa Kigambo
  9. K

    Nimesababisha depression kwa mtoto wa watu

    Afande Siro alisema tube na silaha magetoni. Ndo silaha hizo [emoji1][emoji1][emoji1]
  10. K

    Usiombe mwenye nyumba wako awe mzaramo, mndengereko, mluguru au mkwere

    Umeongea ukweli mtupu. Wengine chogi tupu. Anakwambia nataka nyumba lakini aina AC, unamwekea AC anakaa miezi 6 anakwambia hana fedha ya kodi kubwa anahama. Yaani baadhi ya wapangaji ni watata sana hususan, kwenye kulipa [emoji56][emoji56][emoji56]
  11. K

    Usiombe mwenye nyumba wako awe mzaramo, mndengereko, mluguru au mkwere

    Mimi ni mzaramo, napangisha nyumba lakini ata wapangaji siwajui. Tunakutana kwenye kusaini mikataba. Mambo ya makabila sio ya kuya- generalized. Utafiti wangu mdogo ni kuwa makabila yote wanaongea sana, wengine hawaonekani wanaongea kwa kuwa hawajui kiswahili. Ukitaka kujua wanaongea sana ngoja...
  12. K

    Rais Samia kwa upole huo usiokuwa na kauli ya kukemea tegemea kukwamishwa

    Mwache Mama afanye kazi. Kwani wewe nyumbani kwenu mama yako anakufokeafokea unapofanya makosa?. Kina mama ni watu wenye upendo.
  13. K

    Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
  14. K

    Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

    Yaani utaligawa Taifa kwa kuvaa barakoa!
  15. K

    Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

    Bravo... I repeat no air support. You are in your own. Over.
  16. K

    Hii style nimeiona kwa wengi mjini

    Ni kweli Mkuu miaka 10 iliyopita nilinunua kiwanja mil 20 salasala wakati huo kulikuwa shamba kidogo kwa sasa bila mil 80 mpaka 100 hupati kiwanja maeneo hayo. Mdogomdogo kwa kujibana nimemaliza mjengo. Watoto wanacheza na wanapanda juu mara chini. Maisha safi kabisa. Nimemaliza mjengo huo...
Back
Top Bottom