Nashangaa kuona wafanya biashara wanakua wavivu kulipa kodi,huku kodi kubwa ikilipwa na wafanyakazi.kwanza TRA wanasema kwa wale wenye faida kuanzia 14mn kwa mwaka na sio mauzo ya biashara ya mtu,pili haiwezi kuathiri mfumuko wa bei nchini kwasababu EFD haimgusi mzalishaji bali inamgusa...
Nilimshuhudia nape akijikanyaga na maswali kwa kushindwa kusema mlengo wa ccm kwa sasa na sikweli ccm haipo katika ujamaa na kujitegemea bali ipo katika ubepari jambo jingine nape kazidi kutudanganya kua ccm inatoka hapo ilipo kwa mafanikio na kutupeleka kuleee!!
Tusipokujua nahisi pekee na...
Niinavyo mimi jamaa kaona sahivi chama cha magamba hakuna maslahi(deal) tena akiendelea atakula hasara zaidi kwahiyo anaingia msituni kutafuta deal zingine zaidi
Msamaha wa kodi kwa mda wa miaka kumi wawekezaji watafaidika na serikali itafaidika kwa wafanyakazi watz kukatwa kodi p.a.y.e 30% baada ya hapo kampuni inauzwa to another kampani mifano ipo mingi jamani je hii ni akili au matope wtzania tupo wapi lkn? 'je kifungu hiki kina afikiwa'
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.