Search results

  1. BEBETO

    CHADEMA Kuitikisa Nyanda za Juu Kusini; Safari Kuanza kesho

    magamba weeeeeeeeeee!!!!!!!!!! Ushindwe na ulegee kama wewe huelewi madhumuni ya maandamano ya chadema rejea agizo la waziri mkuu la kuhakikisha bei ya sukari haizidi 1700, chadema waliandamana kupinga kupanda kwa bei ya sukari iliyokua zaidi ya sh 2000 kisha pinda akatoa agizo nchi nzima...
  2. BEBETO

    Uwongo umeniponza

    hiyo ni noma mtu wangu, umeona faida ya kutokuwa mkweli kwa mwenzio sasa kazi kwako, kama mdomo pazuri mpe maneno matamu tu na ahadi nyingi na atatulia tu, na kama ulikuwa unamfikisha mahali pake aaaaaaaah atoki.
  3. BEBETO

    Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

    Mbona huyu susy anakuwa mkali na hii mada kulikoni.
  4. BEBETO

    Hi...!

    Mambo niaje wana-JF? nakuja kama Bebeto.
Back
Top Bottom