Search results

  1. K

    Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

    Duh Madame B. ..... Kumbe kwa Mwakasege kuna mengi he he he..... Wengine mnajazana kutafuta wachumba sikulijua hili
  2. K

    Kikwete kilimo kwanza, Lowassa elimu kwanza!

    Mzee wa Monduli alipowaza na kutafuta kuonyesha kuwa elimu ni kwanza halafu mengine yanafuata... Alichemsha baada ya kukuta baba mwanaasha aka mzee wa bagamoyo kaishaweka kilimo kwanza na mengine yanafuatia..... Matokeo ya form 4 yanaonyesha kuwa elimu ilitakiwa iwe kbl kumbe
  3. K

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    It is so easy kusema vita vyetu ni vya roho swali ni je huko rohoni tupo? Otherwise tutauwawa tu kama kuku Preta
  4. K

    CCM mkoa wa Mwanza wauvalia njuga mgogoro wa maaskofu na serikali?

    Mkuu kila kitu huwa kinakuwa na mwanzo hii issue ya kuchinja itaweza kutufikisha pabaya.... Itafika wakati hata hayo magari watu wataanza kujiuliza nani ni dereva..... Tuombe Mungu tusifikie huko
  5. K

    Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

    Sasa mkuu asungwelemwaifunga hautakiwi kuja na hisia wakati msamalia mwema kamsaidia mgonjwa
  6. K

    Mayalla tupo pamoja

    Mkuu Ringo Edmund, Mh. William Mgimwa ni mbunge wa jimbo la Karenga- Iringa si mbunge wa kuteuliwa hivyo alishaapa kiapo chake cha ubunge siku nyingi, hivyo anauhalali pande zote kuutumikia uwaziri wa fedha mkuu
  7. K

    Kuna ugonjwa wa kupenda kutongozwa jamani

    Smile unadharau mbaya, omba Mungu yasikukute kwa kweli
  8. K

    Ushindi wa hoja wa benjamin mkapa - kigoda cha mwalimu nyerere nkurumah

    Ile ya TBC ilikuwa edited sana.... ukibase hoja zako kwa hile utaingia mwitu ndugu
  9. K

    UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    Yaani Ruta ungekuwa ndiye Jaji ndiyo ingekuwa ile vodafasta ya Msomaji raia wa Raia Mwema hahahah...
  10. K

    Je naweza ku-flush modem ya Sasatel?

    How ndugu, i will also do that if posspible??
  11. K

    Ninampenda kweli huyu mwanaume

    Naomba nikuulize Smile kwani bwana shemeji katishia kukuacha usipompa? au we mwenyewe wajistukia? Kama nimekuelewa vizuri jamaa ni kama hataki vitendo vya kumtamanisha wakati hapewi..? Changamoto nyingine ni jamaa kama nimpenda ngono anaweza kuwa anakula pembeni huku akijitahidi kufanya vile...
  12. K

    Ninampenda kweli huyu mwanaume

    Mtu aliyekuvumulia miezi saba, he mighty be a husband material kwa 50% hivi, otherwise utapata shida sana kumwamini mtu anaitwa mwanaume. In fact kwenye mapenzi tunatake risk, you can not be 100% sure kwamba huyu ndiye mr. perfect wako weakness utazikuta tu kibao. Kwani wewe huwezi mtosa jamaa...
  13. K

    Ninampenda kweli huyu mwanaume

    Hahaha..... inalipa mpaka mwenyewe wajua duh hiyo kali, mi nilidhani mtumiaji ndiye anayeweza jua kuliko mtumiwa. Any way in today world it`s real a challenge, vijana mpaka wamegane ndiyo mapenzi yanakwenda but kwanini msi officiate relation yenu kwa kwenda kwa wazazi kabisa posa ikiwezekana na...
  14. K

    Ninampenda kweli huyu mwanaume

    Kibaya siku unampa anakuta tambalale ataanza jiuliza sasa huyu alikuwa anakatalia nini? watu washa kula huko mi nabambeleza miezi saba bado anaringa????
  15. K

    Mbunge wa Chadema kumbe makazi yake ni Marekani anakuja Tanzania bungeni

    Mkuu ungefanya homework yako zaidi utuletee adress ya anapokaa huku Marekani, may be na shughuli zake zinazomfanya awe huko, pia utuambie kwa mwaka anatumia muda gani kuwepo huko Marekani na hapa Tanzania kisha utuletee, kuliko kuhukumu kwa watoto wake kuwa huko au safari zake
  16. K

    Kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja na wakati umeolewa; ni tamaa au umalaya?

    Smile Hujakutana na shughuli dada kuna watu wanapiga kazi acha na hawa hawa wa kizazi hikihiki
  17. K

    Ajali ya Mh Regia - tuna tatizo

    may be barabara zinahitaji kupanuliwa kuwa na njia nne, mbili zinakwena na mbili zinarudi at least iwe mpaka chalinze kama si Morogoro. Ajali nyingi zitapungua wajameni
  18. K

    Tunapofikia kuajili Polisi wengi kuliko Walimu (Serikali yajiandaa kwa shari au vp?)

    Asante FaizaFox kwa kusahihisha hicho kiswahili...
  19. K

    Tunapofikia kuajili Polisi wengi kuliko Walimu (Serikali yajiandaa kwa shari au vp?)

    Katika gazeti la mwanahalisi leo habari kubwa ni serikali hoi kifedha. Hivyo imebana ajila mpya Polisi wataajiliwa 1,351, magereza 485, makosa ya jinai 111, walimu 417, kilimo 294, jinsia na watoto 247 na maliasili 152 My take: jumla ya askari ni 1947 wakizidi idara zingine zote kwa ujumla wao...
Back
Top Bottom