Search results

  1. T

    CHADEMA mbona kimya? Mnatugusha

    We babu mbona mjinga sana!! Serikali inatumia fedha zake!!! Serikali haina fedha,ni fedha ya wananchi!? Umesoma kweli ww?
  2. T

    CHADEMA mbona kimya? Mnatugusha

    Mzee yupi nimwulize kati ya hawa? Sitta, lowasa, wasira,chenge,rostam,makamba,mramba au mama yako??
  3. T

    CHADEMA mbona kimya? Mnatugusha

    Wewe jk nn? Au jk jnr? Maana hoja yako ni nyepesi sana kama vile unahojiwa na bbc! You are not a tineja am sure, wewe ni mbabu and stupid
  4. T

    CHADEMA mbona kimya? Mnatugusha

    Nashindwa kuwaelewa watu wanaoipigia kura ccm, i dont know niwaweke kwenye kundi gani la watu
  5. T

    CHADEMA mbona kimya? Mnatugusha

    Even Baba madiba alipigwa jela ya maisha na watu wapuuzi na wanyonyaji kama wewe! Then kilichotokea later nadhani una kaufahamu ka kufahamu
  6. T

    CHADEMA mbona kimya? Mnatugusha

    Sijawahi kushuhudia kipindi ambacho watanzania wamechoka,kata tamaa and wana matatizo mengi kama hiki! People are tired of CCM AND GOVERMENT YA JK! Watu wengi wapo tayari kwa lolote including me! Wazee huku mtaani nayashuhudia matatizo ambayo hayaelezeki! Kuna mdada namfahamu jana kapokea...
  7. T

    Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

    Nashangaa jf kuitwa home of great thinkers, kama kuna ma gt basi hawafiki hata asilimia 5! Wachangiaji wengi humu ndani ni vigeugeu,wakurupukaji and wamejaa uchademanism wa kipumbavu! Leo utasikia wanamsifia samuel sita then kesho ni adui yao,leo wanamsifia ane kilango kesho adui! I can see many...
  8. T

    Anne Kilango umejitia aibu

    Hii ikifanyika na kwa malaika wa jf slaa itakuwa poa zaidi,si mnakandamiza tu upande mmoja kinafiki and kishamba
  9. T

    Copa amerika,brazil wapo ful mzuka

    Nipo mitaa flan ndani ya mliman city nacheki gemu ya brazil and venezuela,gemu ndo imeanza! Brazil wapo ful nondo cesar,alves,neymar,robinho,pato,ganzo....! Huyu mtoto neymar mkali sana kibongo bongo namfananisha na haruna moshi boban! Mtaani symbion power washafanya mambo yao!
  10. T

    Rafiki yangu anagundu??

    I have my friend, ameshawahi kuwa na uhusiano na wasichana 3 ambao sasa hivi wote wamekuwa machangudoa wanajiuza! Huyo wa kwanza alidumu naye kama mwaka,then wakaachana kuna mshkaji alimuona corner one day, siku 2kaenda kuhakikisha if its true kweli 2kamkuta yule msichana anauza,tulipomwibukia...
  11. T

    Pombe!!pombe!!pombe!!

    Kuna uhusiana mkubwa kati ya pombe na politics! Kwani ushahid unaonyesha wanasiasa walevi ndio mabingwa wa kukurupuka na kufanya maamuzi fyongo fyongo! Hata zile mbonji za wabunge wengi bungeni zasababishwa na mipombe! Wenyewe si mnashuhudia madumbwanga ya ngeleja?? Pombe hizo
  12. T

    Magazeti haya yanachefua-kila siku CHADEMA

    Mbona huwasemi mwanahalisi,raia mwema na tanzania daima? Wao kila siku ni habari za lowasa, me natamani hayo magazeti yangebadilishwa majina na kuitwa lowasa newspapers
  13. T

    Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

    Me naona tatizo siyo shibuda,bali ni udikteta wa chadema na mbowe wake! Wabunge wa chadema hata mbowe akiwachukulia wake zao watamshangilia tuuu! Uoga gani huu?
  14. T

    Dirisha la usajili hilo!!chadema changamkeni!!

    Kwa wale 2naofuatilia ligi za uropa 2naelewa ni nini kinaendelea wakati huu! Mojawapo ya sababu kubwa iliyosababisha chadema kukosa viti vingi vya ubunge na udiwani ni kukosa watu makini wa kugombea sehemu mbalimbali! Kwa mfano katika kata ya lizaboni mjini songea watu wameichoka sana ccm,but...
  15. T

    Magamba threads(unatakiwa kuwa kichaa au kujifanya kichaa kuchangia huku)

    Wewe ni kichaa au unajifanya kichaa!!!
  16. T

    Magamba threads(unatakiwa kuwa kichaa au kujifanya kichaa kuchangia huku)

    Huku ni kwa wale wanaoitetea na kuisapoti ccm tu(kama wanaweza kujitokeza hadharanii!!!). Ni kichaa tu,au anayejifanya chizi anaweza kuchangia huku. Tunahitaji wachangiaji ambao WANATETEA MAMBO YAFUATAYO: mgawo wa umeme usio na kikomo, kutopatikana kwa maji safi na salama kwa uhakika tz nzima...
  17. T

    Cuf kahongwa scholarship ya us, chadema kahongwa kipande cha muhogo chenye chachandu!

    Chadema walikuwa wanapiga makelele sana kwa cuf kukubali kuchukua umakamu wa rais zenji,narudia UMAKAMU URAIS!! Wakawatukana sana cuf na kuwaita weak! Wao wameongwa unaibu meya tu,narudia UNAIBU MEYA wamekubali kwa mikono mitatu pamoja na kwamba walisababisha vifo vya watu 3! Kama ni msichana...
  18. T

    Slaa yupo safi, lakini....

    Kwa mara ya kwanza nilipata nafasi ya kumsikiliza slaa kwa utulivu last saturday pale tegeta road kwenye kongamano la chuo kikuu cha ardhi! Nasema kwa utulive bcoz tulikuwa watu wachache and wengi tuliokuwepo pale ni wasomi. Slaa yupo kwenye level nyingine kabisa ya utafiti wa mambo na uelewa...
  19. T

    Nani hajawahi kuumizwa!!!!

    Juzi nilikuwa nasikiliza huu mwimbo mpya wa lady jd and Mr.Blue, nilishawahi kupenda!! Nyimbo hii ilinigusa sana and nikajiuliza kama kuna binadamu hapa tanzania/duniani above the age of 25 hajawahi kuumizwa na mpenzi/wapenzi wake!! Naamini hakuna mtu ambaye hajawahi kutendwa katika love!! Na...
  20. T

    Slaa ndani ya chuo kikuu cha ardhi!

    Sipendi mtu yeyote anayefanya mambo kinyume,haijalish ni gamba au upinzan
Back
Top Bottom