tunapo changia mada ambazo zinahusu taifa letu tusihusishe udini, lazima mtambue 'mabadiliko hayawezi kuletwa na wakristo au waislam pekee',unapojadili mabadiliko huku unakashfu dini nyingine wewe si mwelewa na hutaki mabadiliko bali unataka fujo
Ewe mtoa mada nakupa ushauri wa bure...'kama huna chakuandika ni bora ukae utulie...kuliko kuandika mambo ambayo yanaonyesha uchanga wa fikra zako'. Unadhani mtu anawezaje kuwa mtaalam wa IT bila kuwa na computer? Je kama waliahidiwa kuna ubaya gan wao kuhoji juu ya ahadi hizo? Kuhusu nauli...
Mishahara duni,kukatwa kodi kubwa, gharama za maisha kuongezeka, mazingira magumu ya kazi na mafao kiduchu ya uzeeni ni mambo yanayopunguza ari ya kazi!
Matatizo ya ufisadi na uwajibikaji usioridhisha yasinge tufika kama tungefuata misingi ya azimio la Arusha. Wakati tukijadiri katiba mpya tufikiri pia juu ya azimio la Arusha
Matatizo ya ufisadi na uwajibikaji usioridhisha yasinge tufika kama tungefuata misingi ya azimio la Arusha. Wakati tukijadiri katiba mpya tufikiri pia juu ya azimio la Arusha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.