Search results

  1. I

    Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    Hawa wamechanganyikiwa KWELIeti RTD badala ya TBC
  2. I

    KIZOTA-Chumbani kuhesabu kura

    cdm bwana kwa propaganda!! Siwawezi
  3. I

    Tuitazame upya nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA

    Mi naona mke wa Dr.Slaa awe katibu wa CDM na Dr.slaa awe M/kiti sijui mnaonaje wazee
  4. I

    Tuitazame upya nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA

    Mimi nafikiri mke wa dr. Slaa achukue ukatibu mkuu na dr.slaa awe mwenyekiti sijui mnaionaje hiyo wazee
  5. I

    Maisha Binafsi ya rais wa Irani: Wanasiasa wa Tanzania tujifunze

    Dr.Slaa alitaka kupiga picha tu watu wamuone.Hayo maisha ya Rais wa Iran alianza kuyaishi kabla ya urais.Slaa anaishi maisha ya kifahari nyumbani mtaani anatuongopea ndo maana analipwa posho kuuubwa.Usilinganishe kichuguu na mlima bwana
  6. I

    Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

    umeona kaka eeh.bora hata wewe uwaambie maana wamekuwa kama wamerogwa.hawasikii.cdm hamna kitu.2015 ni lowasa bora wajue kabisa wasije kusema zimechakachuliwa
  7. I

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    achana nao hao mimi nakuunga mkono hakuna kiongozi kama lowasa kwa sasa
  8. I

    Joyce Banda: I shall die for the land of Malawi!

    kweli wa Tanzania mmeonyesha uzalendo kwenye suala la Malawi.Nafikiri ujumbe wameupata
  9. I

    Rais wetu ni huyu!

    HAPO SASA UMEONGEA.HUYU NDO RAIS KWELI 2015 MWENYE WIVU AJINYONGE
  10. I

    Rais wetu ni huyu!

    Rais gani ametoa macho utafikiri anajisaidia.mtabaki na matumaini hewa
  11. I

    Rais wetu ni huyu!

    rais gani huyo ametoa macho utafikiri anajisaidia.Hana maana mtabaki hivo na matumaini hewa
  12. I

    Updates kampeni za uchaguzi Arumeru East CCM v/s Chadema

    Acha propaganda za chadema wewe.unafikiri wewe ndo uko arumeru peke yako?
  13. I

    Updates kampeni za uchaguzi Arumeru East CCM v/s Chadema

    Ndio kaka hata mi nimeona sasa hivi cdm wanahaha wameanza kutumia gazeti lao kuwadanganya watz.mara watumie compyuta kuonyesha umati wa watu ilhali si kweli lakini jana ndo wametoa kali kwa kumsingizia mh.ngonyani.wamekwisha sasa wanahaha.ismail
  14. I

    Yaliyojiri kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM 30.04.2011

    Ufisadi sasa umehamia chadema?wanaka kununua mitumba!kweli rangi ya kinyonga sio rahisi kuijua mpaka awe kwenye mazingira flani kama hayo ya pesa kwa mbowe na lema.tafakari
  15. I

    Hali ya hatari kwa CHADEMA

    Tatizo la CDM ni lao wasizingizie CCM kwani pale kuna umwinyi;kuna wanaojionna wao ndo wenyewe na mvurugaji wa CDM ni MBW kwani anafanya udikteta na zito anaimamia haki htaki kuburuzwa.MBW anajenga MTANDAO wakati anajua mtandao umeshaua CCM utaiua CDM pia
  16. I

    Enzi za Mkapa mishahara ilitoka mapema

    nafikiri wewe hufatilii mambo,mimi nimekuwa mtumishi wa serikali zote mbili.Enzi za mkapa mishahara ilikuwa inchelewa sana halafu midogo
Back
Top Bottom