Tupunguze mawazo mgando, wewe kama unaona unadhauriwa ugenini, rudi nyumbani kumenoga tupo huru, siyo kila kitu wanachoamua mabeberu tunakibeba. Huku kwetu uongozi imara umetumia busara na kuweka mbele maslahi ya wananchi wa Tanzania
Majungu tupu, nyie waalimu chapeni kazi, CCM ipo kikazi zaidi, muachane na matumizi mabaya ya mtandao. Huyo dada anatekeleza ipasavyo sera na ilani ya chama kikamilifu. Muda wa kupiga majungu haupo, kama hauna maslahi na kazi yako, tupishe, waingie watu wenye wito; nyie mnaonekana mmeingia...
Kuchagua Lissu kupeperusha bendera ni sawa na kucheza Kamari, TL hawezi kupita kwenye chujio la Tume ya Uchaguzi kwa vile hakidhi vigezo na masharti ya mgombea Urais JMT
Imekuwa ni jambo la kuwazidi kwa mbali watangulizi wangu linapokuja suala la kuweka mbele maslahi ya nchi mbele kwa kumpotezea jirani yako. Rais Magufuli amedhihirisha kwa Wakenya kuwa Tanzania ya zama hizi haina unyonge kimaamuzi linapotokea majirani wanaweka mbele maslahi yao dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.