Search results

  1. Acha Uvivu

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Makonda nae muongo, mbona hajatuonesha ulipo unga wa Gwajima
  2. Acha Uvivu

    Makonda, huu ndio muda wa 'kumkomesha' Mbowe. Hakuna haja ya kumkimbia!

    Makonda hataki akakutane na Masogange rumande, au wenzetu hawajaambizana katika shida na raha.
  3. Acha Uvivu

    SMS ya siri kwa Rais Kikwete yavuja, mtumaji asimamishwa kazi

    Hili picha km la ESCROW, Mhumba km Kafulila.
  4. Acha Uvivu

    Paul Makonda: Wanasiasa wanaopenda sifa kama Mbowe sasa basi

    Serikali sio Mwajiri wakati mawaziri ndo wamiliki wa mabasi, maUDA yote na bado madereva wenu hawana mikataba. Kama mabasi yanayomilikiwa na vigogo mngeanza wengine wangefuata.
  5. Acha Uvivu

    Nimeacha kuangalia ndondi, nabaki na mchezo wa siasa tu

    Manny Packiao kapokwa ushindi, period.
  6. Acha Uvivu

    Kafulila: CHADEMA hawana lolote, Dola iwashughulikie, Kikwete usiwape kichwa!

    Post ya muda mrefu sana, ipeleke maktaba.
  7. Acha Uvivu

    Kwanini mabibi harusi wengi wanapenda kulia siku ya ndoa?

    Kwa hiyo wewe unataka kipima baridi au JF pana taratibu zipi mpya?
  8. Acha Uvivu

    Tunamwomba Mansour na Mzee Moyo Kuja Bara

    Na Mzee Moyo, anaendeleza mashambulizi vibaya na ametamka wazi kwamba km sio yeye kumwendea Maalim Seif kwa maridhiano basi rais wenu wa kupandikiza Shein asingeupata. Na anazidi kupambana, na atawashinda maana akili zinazompinga ni kama zako.
  9. Acha Uvivu

    Tunamwomba Mansour na Mzee Moyo Kuja Bara

    Sasa kwa 'busara' hii unayoonesha ndo muweze kuwadhibiti akina Mzee Moyo, na mwaka huu CCM lazima mpoteze visiwani na bara, na sijui nguvu ya matunguli mtaitengezea wapi.
  10. Acha Uvivu

    Tunamwomba Mansour na Mzee Moyo Kuja Bara

    Ulivyojibu ni ishara ya msituko uliyoupata kwamba hao jamaa wakiingia bara basi utakuwa mwisho wako kupokea 5000 za Lumumba.
  11. Acha Uvivu

    Tunamwomba Mansour na Mzee Moyo Kuja Bara

    CCM ya sasa haina ubavu huo na wala haina kiongozi mwenye ushawishi wananchi wakamwelewa. Mnaishi kwa mizimu ya chama tawala lakini akili hazina chembe ya fikra za kiutawala bali ulaji tu na makundi.
  12. Acha Uvivu

    Kwanini CHADEMA mnatutenga Ileje?

    Heshima yako Mbuzimtu, pia nikupe pole kwa kilio ulichokitoa cha kukosa kuona ziara za viongozi wetu CDM kitaifa. Ni ukweli usiopingika, ujio wa viongozi wa kitaifa ni faraja kubwa kwa wapiga kura hawa watarajiwa ktk kuchagua diwani, mbunge na rais kupitia UKAWA. Niungane na wewe...
  13. Acha Uvivu

    Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais fukara

    Kilaini part II, in the move for the next Presdaa.
  14. Acha Uvivu

    Tunamwomba Mansour na Mzee Moyo Kuja Bara

    Haina ubishi kwamba wazanzibar siku zote wako mbele kuliko watu wa bara, wanajielewa na wanajitambua. Kwao utaifa ni jambo la kwanza kuliko chama, hasa kwa wenye maono waliyo ndani ya CCM kutotishika na siasa za maslahi na ufisadi wa chama hicho kikongwe lakini kichanga kuliko busara za akina...
  15. Acha Uvivu

    DR. W. Slaa: A sensational keynote Speech at Purdue University, Indiana State, USA

    You seem to not have a sense to grasp the content of this insightiful speech, even Hitler knew what was morally good for the world but he chose vice to be his ultimate goal. So like you Mr Fox.
  16. Acha Uvivu

    Iphone 4 orginal gb16

    Mi nataka, ila kwa 320. Nipo Dar. Km vp nistue kwa pm.
  17. Acha Uvivu

    Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    Ninapomuona Zitto wa kawaida ni pale hajifunzi frm past experience ya waliwahi fukuzwa CDM na hata vyama vingine. Zaidi ni pale vitangulizi vyake vimepotea kabisa, i.e Juliana Shenzi et al.
  18. Acha Uvivu

    Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    Mnapanga matokeo na NEC yenu. Hilo tulishalijua.
  19. Acha Uvivu

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Dr Slaa
  20. Acha Uvivu

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Huyu mzeee Pinda mgumu, lakini Lembeli watamtumia tena kwenye tume ya pili?
Back
Top Bottom