Search results

  1. J

    Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

    Wimbo wake recent nnaoupenda ni huu wa Chege na Temba ft Emmy unaitwa GO DOWN! Dunga yumo kama kawaida anachombeza, "tembeleee.." Una bit tamu sana
  2. J

    Naomba ushiriki wako katika utafiti - Invitation to participate in a research

    Habari, Naendesha utafiti unaohusisha utafutaji wa taarifa mtandaoni kwa lugha zaidi ya moja (multilingual Web searching) ambapo utatumia search engine (ya majaribio) inayosupport lugha MBILI i.e. unapata majibu kwa lugha mbili; English na Kiswahili. Kushiriki ni rahisi sana; ukifungua link...
  3. J

    Unaweza kupigwa risasi kwa niaba ya mwanao?

    Umetoka kuangalia movie ya "John Q" nini?
  4. J

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Ushauri wa maombi toka kwa "Mchawi Mkuu" Daah!!! Kumbe hata nyie wachawi mnaamini katika maombi!?
  5. J

    Cape Town: Mitambo ya kusukuma maji itazimwa Aprili 29 Mwaka huu, haijawahi tokea kwa miaka 100

    Mkuu chanzo cha taarifa yako ni wapi? Maana day zero ni tarehe 15 July. Soma hapa (Day Zero) kuona pia efforts zinazofanywa ikiwemo ya desalination.
  6. J

    Habari ya Ripoti mkemia mkuu imenipotezea usingizi wangu

    Mimi nakubaliana na takwimu za mkemia mkuu kwa sababu wanaoenda kupima karibu wote huwa wanawasiwasi. Wengi ambao hawana wasiwasi na watoto wao hawana time na kupima. Mara nyingi watoto kama si wako utahisi tu na hisia hizo mara nyingi huwa ni kweli. So mkemia anaprove tu kuwa hizo hisia ni kweli.
  7. J

    Serikali ijitokeze kufafanua taarifa inayoonesha mapato yake kushuka kwa 50/%.

    Licha ya kumtukana sana Zitto, bado Bavicha anawaendesha tu huyu "msaliti"!!! Bila kumsahau dada yenu wa kufikia Kimange... Siku hao wawili wakiishiwa hoja, bavicha itakuwa ahera!
  8. J

    Nauza Car seat ya mtoto wa miaka 1 mpk 5

    Do you mean TRA? Hata sijui anaishi wapi, maana sina ukoo naye.
  9. J

    Nauza Car seat ya mtoto wa miaka 1 mpk 5

    Daah! Huku mikoani tunakosa vitu vizuri aiseeh!!
  10. J

    Nauza Car seat ya mtoto wa miaka 1 mpk 5

    Haya mama! Lakini angejibu hapa ingekuwa kwa faida ya wote...
  11. J

    Nauza Car seat ya mtoto wa miaka 1 mpk 5

    Unapatikana wapi mkuu Susan85?
  12. J

    Maswali magumu kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Asante kwa uchambuzi yakinifu na maswali yaliyoshiba yakiambatana na ushahidi! Salam nyingi sana kwako Mwalimu wangu wa Internet Programing (BSc. CS 2011) Sent from Moto G
  13. J

    Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

    Kwenye red hapo! Very interesting
  14. J

    Haya matunda yanaitwaje kwa kiswahili fasaha

    Mnakaribiana kidogo na kwetu tunaoyaita "BUPULU"
  15. J

    Zitto: Angalieni hali ya Wanafunzi, jirani yao Chato inajengwa Airport ya zaidi ya Tshs Bilioni 50

    Zitto umekosea kwenda kuwatoa watoto wa shule darasani kwa ajili ya siasa!! Hapo kwenye background kunaonekana madarasa maana yake ni kwamba umefika kwenye shule ukawakusanya hao watoto upige nao picha bila wao kujua unaenda kuitumia kwenye kutafuta umaarufu wa kiasa!!
  16. J

    Escort woman ni nini? Ni kazi gani?

    Mkuu kama huna nia usiende tu! Definition ya ESCORT WOMAN ambayo kwa kingereza kingine wanaita CALL GIRL kutoka wikipedia ni :- A call girl or female escort is a sex worker who (unlike a street walker) does not display her profession to the general public. So kazi ni kwako, hiyo siyo kama...
Back
Top Bottom