Search results

  1. naggy

    Kuteuwa Wakurugenzi nje ya Utumishi wa Umma hakupaswi kufumbiwa Macho

    Kimsingi, hakuna teuzi yeyote anayofanya Rais isiyokuwa na masharti. Wakurugenzi ni watumishi wa umma ambao ni permanent and pensionable. Wanatambulika kwenye muundo wa utumishi wa umma. Na sifa za kuwa mkurugenzi ni kuwa angalau umetumikia managerial position ya ukuu wa Idara kwa miaka mitano...
  2. naggy

    Tufanye Ubinafsishaji kwenye utoaji wa haki jinai, uwajibikaji na elimu ya Uraia

    Ni Wakati muafaka sasa tufanye foreign investment kwenye usimamizi wa demokrasia na utoaji na utendaji haki nchini, kama tunavyofanya kwenye madini, mapori, na bandari, gas, na kwingineko, kwa kuwa sisi hatuko vizuri kwenye eneo lolote lile. Tunapovutia wawekezaji kwenye nyanja za kiuchumi...
  3. naggy

    Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Jana niliandika kwa kirefu sana na nikisema DPW DEAL IS NOT REAL. Nikasema ni watanzania wenzetu wanataka kujimilikisha Bandari. Naomba kufafanua zaidi tuelewane. Mkataba unatambua kuwepo kwa DPW itakayoanzishwa Tanzania as DPW Tanzania na itakuwa na affiliated companies na subsidiary...
  4. naggy

    DPW deal is not real

    DPW DEAL IS NOT REAL Ni kundi la watanzania wanataka kujimilikisha biashara ya Bandari kwa mgongo wa DPW Niliposikia watu wanalalamika kuhusu huu mkataba na kueleza ubaya wake, sikuwaelewa. Nililazimika kuutafuta na kusoma mwenyewe mwanzo mwisho. Baada ya kusoma mara kadhaa na kuelewa, comment...
  5. naggy

    How do you Feel

    Son of Tanganyika How do you feel When I call you a coward How do you feel When I call you a traitor How do you feel When I call you a betrayer You have betrayed the land The sons of our grands fought for You have betrayed the living words The founder of our nation painted after the victory...
  6. naggy

    It is Time for Action

    It is Time for Action Dear brothers and sisters Dear elites and the learned Dear active citizens and the common Dear I you and them It is time for action Haven't you all heard Haven't you all read Haven't you all spoken Haven't you all wondered Haven't you all regretted Haven't you all had...
  7. naggy

    Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

    Ni mstari au verse ipi imekukuna vilivyo kwenye wimbo wa Roma? Weka punch line yako.
  8. naggy

    Elimu ya bima.

    Thanks man
  9. naggy

    Elimu ya bima.

    Hivi kuna kikomo cha gari kukatiwa bima? Nimeenda kata bima kubwa naambiwa gari yangu muda wake wa kukatia bima umeisha, nimepewa ya kawaida tu! Msaada kwa anaejuwa
  10. naggy

    Tundu Lissu: A Glitch in the Matrix

    Very very very true How many can understand this! Very few, in fact. You can see them with their reply! You are one among the the great minds!
  11. naggy

    Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    Kiongozi anayechaguliwa na wananchi hachaguliwi ili afanye mabaya. Ndo maana kwenye kampeni hawahubiri kutekeleza mabaya, bali mazuri wanayotaka wananchi. Huenda wangehubiri mabaya, wananchi wasingemchagua. Kwa maana hiyo, kuwafanyia mazuri wananchi ni jukumu la kila kiongozi na halihitaji...
  12. naggy

    Je, ni kweli 99% ya watanzania ni waoga?

    Haikuwa nia ya Baba wa Taifa kujenga Taifa lenye watu waoga kama ambavyo amewahi kusema kwenye hotuba zake, lkn matokeo yake ndiyo hayo. Inawezekana hatukumuelewa vizuri wakati wake, au alitumia njia isiyo sahihi kujenga Taifa aliloliota. Taifa lenye watu waoga si Taifa la kujivunia. Unaweza...
  13. naggy

    UPDATE: Abdul Nondo ahamishiwa Iringa kimyakimya, afikishwa Mahakama ya Wilaya. Anyimwa dhamana...

    Kama wanatambua watekaji wake wapo mtaani, kwa nini wamtuhumu kudanganya kutekwa?
  14. naggy

    UPDATE: Abdul Nondo ahamishiwa Iringa kimyakimya, afikishwa Mahakama ya Wilaya. Anyimwa dhamana...

    Huko kunyimwa dhamana kwa kisingizio cha kulinda usalama wake kwa kuwa watekaji bado wapo mtaani kimekaaje? Au ni story tu sio sababu iliyotolewa ya kumnyima dhamana?
  15. naggy

    Pongezi Rais Magufuli. Ameonesha uzalendo wa hali ya juu uliotukuka!, amebadilika, amejishusha, uchumi wa Tz kupaa!

    Binafsi naomba uiharibu tu siku yangu. Ni mapema mno kutoa pongezi. Jiulize kwa nini kafanya ivo? Kwa nini wajumbe wa huo mkutano wameitwa wengi kuliko kawaida? Kwa nini aliongea kwa uchungu kiasi hicho? Je, kila aongea kwa uchungu humaanisha? Kwa nini anatoa wito kwa kamishna wa TRA kunegotiate...
  16. naggy

    TAHLISO ya sasa ni kikundi cha umoja wa vijana wa CCM vyuo vikuu, hawana kazi zaidi ya kuipongeza Serikali

    Kwa kweli. Inawezekana vipi mwanafunzi kauawaa na polisi, mwanafunzi mtetea haki za wanafunzi wenzake kapotea, lkn wao wapo kimya tu??
  17. naggy

    Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), tarehe 3/3/2018 kuandamana kumung'oa Mwigulu Nchemba

    Nimekuwa nasubir kusikia hiki kutoka kwa wanafunzi wa NIT na umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuku. Nashukuru ninyi mmeliona hili. Mnapaswa kuungwa mkono. Hongera sana kwa huo uamuzi.
  18. naggy

    Dotto Bulendu: Haya ndio maisha ya Tundu Lissu ya Mikikimikiki Sekta ya Madini

    Mungu amponye, kamanda Lissu. Hakika ni mtetezi wa wanyonge, wale wanaoonewa, na wasio na Sauti. Hawaoni umuhim wako sasa ivi, lkn vitabu vya historia ya Taifa letu vitaandika Jina lako kama shujaa kuliko watawala wa waliowakaribisha wawekezeji na kuwapa rasilimali zetu kwa mikataba ya ovyo
  19. naggy

    Saa 48 za Halima Mdee rumande zinaisha jioni ya leo, what is next?

    Kesho sikukuu, keshokutwa weekend, hapo paka jtatu. Makusudi yamefanyika, kumtesa kwa masaa zaidi ya 48. Wanafikiri wanamkomesha, kumbe ndo wanamchichea. Kunyamaza kwake maana ake aache kuwa mbunge wa upinzani, aache kutetea haki, kitu ambacho hakiwezekani
  20. naggy

    Maajabu ya Wabunge wetu: "Double Taxation" katika Road License, na Wabunge wanashangilia?

    Haina tofauti na kodi walipayo wafanyakazi. Mshahara unakatwa kodi, na ukianza kuutumia unakatwa kodi pia. Ili kusema ni sawa ama si Sawa, au kunaunafuu ama lah, ni lazima kufanya estimation ya jumla ya kodi Mwananchi atalipa kwa mwaka kwa mfumo pendekezwa na huo uliopo. Mlete post tusaidie kwa...
Back
Top Bottom