Search results

  1. P

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    kasi zaidi,nguvu zaidi .....................
  2. P

    Dr. Slaa na CHADEMA, mpo wapi?

    dr hakurupuki,CDM wako makini sana,vp usanii wa January Marope na Megawatt uliushtukia jana?
  3. P

    Mahakama yatoa Amri Askofu Mokiwa na Wenzake wakamatwe kwa kutotii mahakama!

    Hawa watafsiri sheria wetu wana matatizo sana au pengine uelewa wao sio wanalazimisha (mahakimu,majaji na wazee wa mahakama),Mokiwa tunaambia kadharau mahakama sawa lakini huwa (majaji,mahakimu) wanatumwa cha kufanya kwani DOWANS haina pingamizi mahakama kuu mitambo au mali yoyote isiguswe mpaka...
  4. P

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    JK na wahusika wenzake wanakwepa,........Idi Azani(Mb),Zungu(Mb),Mama Lwakatare(Mb),.........Laurence Masha(Mb),...
  5. P

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    THREAD hii ni pumba nasizani kama imetoka magogoni japo magogo pumba zipo lakini mtiririko huu hapana,tusipoteze muda hapa!
  6. P

    Mwandishi wa Kimarekani akamatwa Tarime: Aingia nchini kinyume cha sheria; apiga picha waliouawa

    hakuna kitu hapo,WAISLAM wanaichukia Marekani vibaya mno!
  7. P

    Kipindi dk 45 ITV Vs Mchakato majimboni

    Wana JF nimekuwa nikifuatilia kipindi cha dk 45 ITV ambacho kimekuwa kikilenga mahusisi mahojiano na baadhi ya watendaji serikali espicially mawaziri na wastaafu wa serikali ya MAGAMBA,binafsi natatizwa na hiki kipindi kimelenga nini hasa,je ni product ya dhati ITV au nimpango wa serikali ya...
  8. P

    Nyamongo: "CDM wametujali watasimamia mazishi ya mwanangu" J'tano

    nawapa pole wafiwa wote,MUNGU mkubwa haki itapatikana tu,NDUGU WATANYANIA WENYANGU NATOA RAI HATUNA HAJA ZA KUENDELEA KUIVUMILIA SERIKALI KATILI KAMA HII MIAKA MI4 NI MINGI MNO WANAWEYA TUUWA WOTE TUAMKE WAKATI NI HUU!
  9. P

    Picha za Makamanda Vitani na Wapiganaji wao: CHADEMA yaweza kujifunza somo?

    majeshi huvaa sare kwa sababu za kiusalama,wanagharamiwa na kodi za wananchi pia wapo kambini,CDM ni makamanda wa ukombozi wa pili kwa watanzani,sare za mapambona zipo mioyoni mwa wanachama na wakerekwetwa wa ukombozi,na hizo unazotaka zipo zinauzwa na si kwa viongozi tu!
  10. P

    Mageuzi hadi vijijini mpango wa Mungu-Mbowe

    hata nyuki walisikiliza ukumbozi,kweli kazi ya Mungu,BABA MBINGU NA NCHI APEWE SAFA NA KUABUDIWA MILELE NA MILELE AMINA
  11. P

    Fedha za Radar Kurudishwa: Mgogoro kati ya BAE, TZ na UK

    nampongeza Dr wa ukweli mana tusingejua kilichojiri,BAE wapo sahihi,tulishuhudia fedha za econimic stimulus package makampuni uchwara ya pamba walivyochota fedha kwa kisingizio cha kuyumba uchumi waziri mkuu bungeni kapata kigugumizi kueleza hilo,hizo fedha zipewe NGOS directly au zitumike...
  12. P

    Mpendazoe aanika walioanzisha CCJ

    Suala si malipo, naaangukia upande wa uhalisia wa jambo husika. CDM bado ni kichanga kisera na mikakati, naguko lake laja muda si mrefu; mnatumia muda mwingi kuwajadili akina Nape. CDM mlianza vizuri kwa hoja zenye shibe, hatahivyo baadaye HASWA baada ya ujio wa Nape na hoja zake, mkatoka nje ya...
  13. P

    Noti mpya hazina ubora?

    Tulishuhudia mbwembwe za Gavana na JK wakizindua noti mpya mwishoni mwa disemba 2010 na kutujuza kuwa Jan 2011 noti mpya tayari zitakuwa kwenye mabenki,WaJF NAOMBA mnijuze kunanini mpaka leo takribani miez sita kila noti zipo mbilimbili,why??
  14. P

    Nguvu za Rostam: UVCCM Kilimanjaro wafukuza

    UVCCM akina nani tena hao? tumechoka na hao wa2 wa magamba na wanao,embu tuleta thread za ukumbozi wa kweli JF
  15. P

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    kichefuchefu,TANZANIA tunakwenda wapi,tutavumilia mpaka lini.nani wakututatulia kero zetu hizi,bila umeme wa uhakika kila kitu bei juu,Watanzania wenzangu tumefika mahala pakukataa usanii huu,maisha yetu yanaangamia taifa la kesho hakuna,TUVUMILIA MPAKA LINI?
  16. P

    Mkapa apewa tunzo ya heshima

    ulikuwa usanii wa mwaka,nilihisi anaweza kuwa alitumia mlango nyuma kuweza kumbukumba ktk swala kama hilo ili tu aweze kurudisha imani yake kwa jamii kwani BWM kutuibia sana,kuna taarifa za kiintelijensia jamaa kutoka china walioshiri kujunga kujenga uwanja {injinia alishongwa after rais wa...
  17. P

    Kipindi: Malumbano ya hoja (ITV); kitadumu

    hii thread iliwekwa na pikadili kulikoni! uchakachuaji huo!!!!!!!!!!!!!!!!1
  18. P

    Je mahusiano ya Lamwai na Marando ni ya neema kwa CDM

    havina uhusiona,wote ni wanasheria tena makini,tofauti za kisiasa sio uhasama,Tambwe mkubwa wewe!
  19. P

    Je mahusiano ya Lamwai na Marando ni ya neema kwa CDM

    hoja hakuna hapo,wote ni wanasheria tena makini,sio mbaya wakibalishana mawazo
  20. P

    Kipindi: Malumbano ya hoja (ITV); kitadumu

    kuna mdau alitoa data za takukuru,kati ya kesi 40,000 na ushe wameshitaki kesi 6,000 ,400 zimesikilizwa wameshinda 44,mada ilikuwa umaskini tanzania ni Laana?
Back
Top Bottom