Search results

  1. X

    Goodluck Jonathan atashindwa uchaguzi Nigeria

    Kwa jinsi viongozi wetu wengi wa nchi za kiafrika walivyokubuhu katika wizi wa kura,hilo la goodluck kushindwa naliona kama sio rahisi kiviiile... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  2. X

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Azam t.v vipi jamani? Real madrid t.v mliyoileta/ kuiongeza kwangu inaandika access denied, je, tatizo hili ni kwangu tu ama na watumiaji wengine wa azam t.v? Kama ndio, mtalitatua vipi ili sisi wapenda mpira tupate burudani,
  3. X

    Kisa hiki kimetokea juzi naombeni ushauri

    Kusoma hujui, ata picha uoni? Hakutaki huyo mzee, jiongezee
  4. X

    Sleeping with Your Phone on at Night leads to Obesity - Research

    Mmmh,mmmmh, yashakuwa haya tena ya kupata unene uliopitiliza kwa kusababishwa na mwanga wa cm, hii hatari sanaaaa
  5. X

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Isidingo haiwezi kwisha kwa mantiki ya kuwa wachoonesha ni maisha ya kila siku na changamoto, watu, tabia na mengineyo yaliyopo katika maisha ya uhalisia, kama ni mfwatiliaji wa Muda mrefu utaona kuwa ni tamthilia ambayo ina akisi maisha ya kila siku ya mwanadamu na changamoto zake. N.B...
  6. X

    Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    Echolima vipi muendelezo wa hii historia ya vita vya kagera? Na vipi umefanikiwa kutengeneza kitabu kama ulivyosema?
  7. X

    Bangi ni Noma!!! Ona hii

    Aaah,aaah,aaah,bangi hizo
  8. X

    Natafuta kazi

    Katika level gani? Umekuwa general sana ndugu
  9. X

    Mtoto afungiwa chumbani miaka 9

    Yani kuna watu ni wakatili mpaka basi, kumfungia mtoto miaka tisa ni unyama wa hali ya juuu..... Huyo mama alaaniwe
  10. X

    Msaada

    toa details zote za kesi, mfano kesi ilihusu nini, parties applicant alikuwa nani? Na any other details which may seem relevant
  11. X

    Nani ana ufahamu namna ya kupata toefl hapa tanzania

    kama mdau alivyokwambia hapo nenda british council
  12. X

    Amiri Jeshi Mkuu mlemavu wa miguu

    Cha msingi kama ulemavu wake haumzuii kufanya shughuli za rais kama kiongozi wa nchi na amiri jeshi mkuu then anaweza kukagua gwaride la jeshi kwa wheel chair
  13. X

    Kitabu: Hotuba za Rais Mkapa

    vipo mkuki na nyota publishers, wanabookstore yao, ukiwatrace hao utakipata.
  14. X

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    isidingo jamani c jaona cha kufananisha nacho, hasa unapoongelea tamthilia za kiafrika ambazo zinaonesha maisha ya mwafrika na jinsi ambavyo yanakuwa affected whether positively or negatively, hasa ukiangalia multinational companies e.g sibeko. Na opportuniests such as barker and the like...
  15. X

    Mikopo kwa vyuo vya nchi za nje e.g uganda

    nijuavyo mimi kwa sasa hivi bodi wanatoa mikopo kwa watu wa undergraduate, masters na phd. Unajisupport mwenyewe unless serikali ikakusomeshe kutokana na huitaji flani inayotaka ndio unaweza kukopeshwa.
  16. X

    Daktari Akitoa Siri Za Mgonjwa

    hatua zinazoweza kuchukuliwa ni, 1.mgonjwa kumfungulia kesi ya madai dr.husika kutokana na madhara aliyopata baada ya siri kuvuja. 2.dr.husika anaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na uongozi wa hosp.husika na pia baraza la madaktari tz. hatua za kinidhamu zinaweza kupelekea dr.kufungiwa leseni...
  17. X

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

    uwezi kuwarudishia sh.100 na huyu 100 lazima uwape 150 na mwngne 150.
Back
Top Bottom