Search results

  1. ADAM MILLINGA

    Nahitaji ufafanuzi wenu

    Mimi nina mdogo wangu alikua anafanya kazi katika campuni ya sports betting sasa akawa ameingia tamaa ya kucheza yeye mwenyewe hadi akafikia milioni 20 akakimbia lakini mdhamini wake ni mama angu je sheria inasemaje kwa hili
  2. ADAM MILLINGA

    Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    ahahahahaha kweli hatari mpotoccm tena anataka ubungo hohohohohohoho kweli ni mda wa hata chiz kusema anataka urais
  3. ADAM MILLINGA

    Kangi Lugola: Hata nikitofautiana na mwenyekiti wangu mradi naungana na wengi!

    Rejea kiswahili umoja na wingi mtu umoja watu wingi muelekeze na kikwete
  4. ADAM MILLINGA

    Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

    :nod: VIBARAKA WATUPU ILA TUWAAMBIE ATUDANGANYIKI TENA :A S 465:
  5. ADAM MILLINGA

    Slaa na maamuzi ya ubabe Kyela, akipewa nchi atafukuza wangapi?

    Hapa uwajibikaj atutak maneno matupu ukileta ujinga unatimuliwa
  6. ADAM MILLINGA

    Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    thannnx mh lema mungu akiwa upande wetu nani alie juu yetu????? Hakuna asnteni arusha asante mungu
  7. ADAM MILLINGA

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Ndugu yangu butimba ttc kwa kirefu ni butimba teachers terchinical college sasa chuo cha ualimu na a level wap na wap then hiyo diploma ya mwaka mmoja mmoja haijatulia pitia vizuri uirekebishe next tym hiyo fake cv
  8. ADAM MILLINGA

    Catering and decorations services

    Kanisa katoliki manzese linafanya shughuri hiyo kwa bei nzuri na chakula kizuri pi pamoja na mapambo kwa sherehe zozote wasiliana kwa namba 0658850002 au 0754800002
  9. ADAM MILLINGA

    Padri Evarist Mushi, aliyekuwa Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili, Zanzibar aliwataja wauaji

    Kwann serikali isite kuchukua hatua kwa awa uamsho?????? Kwa hakika inatia asira sana
  10. ADAM MILLINGA

    Mchungaji Gwajima na tabiri zake: 'Tanzania Mpya' inakuja

    Majesh ya bwana yakipiga yanaua kabisa yako hapa majesh ni majesh ya BWANA.
  11. ADAM MILLINGA

    Mchungaji Gwajima na tabiri zake: 'Tanzania Mpya' inakuja

    Tanzania ambayo mafisad wote watakufa na kuwa kama vumbi TANZANIA MPYA IMEFIKA.
  12. ADAM MILLINGA

    Salamu kwa PENGO, MALASUSA na mufti mkuu!!

    ndugu yangu usikae hata siku moja kuwakosea viongozi wa kiroho watake radhi kama utojali
  13. ADAM MILLINGA

    Ushindi wa chadema ni waraka mzito wa watanzania kwa serikari ya chama cha mapinduzi mwaka 2015

    Ndugu zangu furaha niliyo nayo tangu alipo tangazwa nassari kuwa mbunge mteule imezidi kifani kwan nimeona kweli watanzania wamechoka na manyanyaso ya serikali ya kikoloni ya watu weusi wa chama cha mapinduzi nina washukuru sana wananchi wa arumeru amkujali pesa wala flana ata kanga ila...
  14. ADAM MILLINGA

    Picha: Dr.Slaa ampokea Prof. Lipumba kiaina

    Sasa watu wanaishi kwa umoja wewe unanuna kama sio wanga nini uo ndo uzalendo msema kweli uchaguzi mkuu 2015 safi baba yangu slaa we loves you much than much
  15. ADAM MILLINGA

    Tolea maelezo hii foto

    tuzo ya charger ya kobe inafuata taratibuuuuuuuu
  16. ADAM MILLINGA

    Madai ya Prof Lipumba kuwa alikuwa UN akishauri Uchumi ni changa la macho?

    hacha chuki binafs gamba la kuku wewe
  17. ADAM MILLINGA

    Dr Mwakyembe hapaswi kuhurumiwa, amevuna alichokipanda

    kweli asiejua maana usimpe maana na alalae usimuamshe
  18. ADAM MILLINGA

    Anne Makinda Usipoangalia Hata Hapa Kwetu Mjengoni Yaweza Tokea

    yan raha sana cjui hapa bongo tunasubili nini
  19. ADAM MILLINGA

    Regia Mtema is No More!

    Habari za mchana wana jf poleni kwa msiba mkubwa wa mpambanaji wetu hon. Regia , lakin akuondoka hiv hiv najua alikuwa na ndoto za kimapinduzi siku zote alituimiza kuwa wapambanaji najua kimwili tupo mbali lakin kiroho bado tupo pamoja, kazi alio iacha inatupasa kuiendeleza kwa juhudi kubwa na...
  20. ADAM MILLINGA

    Regia Mtema is No More!

    why GOD? WHY REGIA at this time its pain mpambanaji wetu ametutoka tuliona mchango wake mkubwa hapa jf hakika ni uzunikubwa
Back
Top Bottom