Search results

  1. M

    Msikiti wa posta na ubaguzi??

    Mie napita tu naenda kanisani
  2. M

    Mabula una hali ngumu kuiongoza Mwanza

    duuuuuuuuuuu!nomaaa
  3. M

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Huduma kuhamisha pesa kwenda m-pesa imewashinda ondoeni tu inatutesa sana maana unahamisha pesa leo unapata pesa kesho.
  4. M

    Pikipiki sasa kutumia namba mpya zinazoanzia na MC 101 AAA

    huu ni upuuzi kabisa kutoza sh.10000 maana makosa walifanya wao tangu mwanzo.km nia njema kwanini isiwe bure tu maana unaponunua pkpk mpya hayo unakua umelipia halafu tena kwenye kubadili unalipia tena huko ni kukosa ubunifu kwa serikali ya ccm wanataka kupiga hela ki-aina! tena ni uonevu na...
  5. M

    Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    maisha ni hesabu zako mwenyewe,maisha hayana kanuni kila mtu na stepu yake kamwe ucjaribu kuiga staili ya mwenzio...
  6. M

    Nyongezaaaaa ya mshahara kwa waalimu

    hakuna cha mwalimu wa science wala art wote ni flat rate.
  7. M

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    piga keleleeeeeee... oyooooooo!!!! hatimaye boom tayari mazeee limeingizwa jioni hii....
  8. M

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    Hongereni sana NMB,please one more month please..
  9. M

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    mshahara mpaka leo kimya vp kulikoni? maana sio kawaida. mwenye report atujuze.
  10. M

    Wanaume mnaifahamu mbinu hii?

    uongo ulotukuka ndo huo xaxa hakuna connection wizi mtupuuuuuu
  11. M

    CWT ya Tanzania imejifunza nini kutoka kwa "CWT" za Kenya na Uganda ?

    ndo maana walimu wa mkoa wa kigoma walijitoa cwt.kaz kukata hela tu na kujenga magorofa.
  12. M

    Mshahara wa mwalimu mwenye shahada

    Mwalimu mwenye shahada ya kwanza akiajiriwa shule ya sekondari huitwa AFISA ELIMU DARAJA LA PILI na huanzia na ngazi ya TGTSD sh. 532000= wakati kiwango hichohicho cha elimu akiajiriwa ktk chuo cha ualimu huitwa MKUFUNZI na huanza na mshahara wa TGTSE sh.740000= Je, serikali sikivu ya CCM...
  13. M

    CHADEMA yazidi kupaa kuelekea 2015

    Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42. Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75. Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103" Mwaka 2010 Wabunge 48, Madiwani. 467. itakua vp 2015 kama si kwenda IKULU? Mchango wako ni muhim sn kufanikisha...
  14. M

    Walimu wawakomba walimu wenzao mishahara yao.

    haki ya mama adui wa walimu ni mwalimu mwenyewe.toka nimeanza kazi sijawahi sikia madiliko ya rais wa chama unategemea nn?cwt wizi mtupu! Popompooo wakubwa eti wanataka kuanzisa benk ili waendelee kujinufaisha.
  15. M

    Walimu ivuna sec wamegoma kuingia madarani

    Hatimaye walimu wote wa shule ya sekondari lvuna ilioko kata ya lvuna tarafa ya kamsamba wilaya mpya ya MOMBA wamegoma kuingia madarasani kuanzia leo tar 18.03.13 mpaka watakapo tekelezewa madai yao sugu. Madai hayo ni ukosefu wa nyumba za kuishi ambapo tangu shule hiyo ianzishwe mwaka...
  16. M

    kashfa nzito necta watoa matekeo kwa mtu asie husika!

    MKURUGENZI GREEN ACRES AFICHUA SIRI NZITO na Betty Kangonga WAKATI mjadala wa matokeo mabaya ya kidato cha nne ukiendelea kulitikisa taifa, kashfa mpya ya matokeo hayo imeibuliwa. Kashfa hiyo mpya imeibuliwa na Mkurugenzi wa Shule ya Green Acres, Julian Bujugo, kwamba matokeo ya...
Back
Top Bottom