Search results

  1. R

    Willy Gamba, Hofu, Njama, na E MUSIBA, Mnakumbuka Enzi Hizo?

    mbuzi mzee vp tena aisee tangu jana nimemaliza kusoma mbona kimya
  2. R

    Fomu kwa wale wambao wanataka ukarani kwenye sensa ikiwemo waliomaliza chuo lakini hawana ajira

    Jamani fomu hazitolewi ila unaandika kwa mkono na kuiacha kwa afisa mtendaji wa kata yako baada ya kupitisha ofisi ya serikali ya mtaa. Iyo taarifa nimepata wilayani, nenda ktk ofisi za wilaya yako.
  3. R

    Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

    duh nimekaa zaidi ya nusu saa sijapata jibu la kukupa, ila in short 1st man he real love u ila kama humpendi achana nae, ila 2nd man doesn't love u, ila kumbuka wanaume wachache utaishia kuzalishwa tu, omba ushauri zaidi ila pia dunia hi dada mnakufa sana humo maofisini, think twice, ni hayo
  4. R

    Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    IKULU SI SEHEMU YA MCHEZO . tuombe Mungu atuongoze
  5. R

    Wazazi,ndugu hawamtaki,na yeye hataki kuelewa,ushauri wako unahitajika sana hapa!!

    Je bint anatabia kama za hao wake wa ndugu zako.? Obvious ulipomtafuta uliona anafaa.. Si kila mchaga yupo ivyo, kila kabila na watu wake wana udhaifu take care usije ukajuta baadae ishi na mtu unayempenda. Great thinker hawawezi kukupa jinsi ya kumwacha m2 unayempenda ila unaendeshwa na ndugu,
  6. R

    Majina Maarufu Mbeya....

    Anyosisye, mwandelile, mwamakula,
  7. R

    Valentine day-Sio lazima zawadi kubwa hata Sms inatosha!!

    duuu..!hizo sms za kiswa-English na za ku copy hazina radha bhana, valentine mfanyie ki2 kipya yule unayempenda na sio lazima mpenzi, sms 2mezoea just fanya ki2 tofauti na kawaida yako kitakachomfurahisha your valentine kilicho ndani ya uwezo wako.
  8. R

    2012 African Cup of Nations.

    kajunju acha kulia sana ukilia sana unatupa uchungu.,UBC, KBC, ZNBC na nchi jirani nyinge television zao za taifa zanaonyesha mechi, ila mi napita tu nitarudi pale zambia watakapokabiziwa kombe bdae.
  9. R

    Wageni wakija, zima tv!

    teh teh teh teh teh duh umenikumbusha miaka ya 90's yaani akija mgeni utasikia story kibao, ila now day hakuna jipya. Duh long time sana
  10. R

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    We hujacheki mpira wala si shabiki wa chelsea then wewe si polisi ni mgambo polisi ana akili shupavu..
  11. R

    Nimechoshwa na denda

    teh teh teh duh iyo kali
  12. R

    Nisaidieni kumuokoa mke wangu mtarajiwa

    kaka huyo sio demu kimbia fasta kunguru huyo atakusumbua ndani mwishowe wata gonga hata kwa buku
  13. R

    maajabu ya soka

    duh so much lovely 2 my brain, nimeipenda sana hii shusha nyingine bana
  14. R

    Je ni uungwana kuruhusu mke au mme kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani?

    duh nijambo ambalo unatakiwa kuliepuka sana, usiruhusu litokee kuna ushawishi mkubwa kwa watu waliowahi kuwa wapenzi, epuka hilo
  15. R

    Serikali yaondoa ulinzi nyumbani kwa Jaji Mkuu mstaafu A. Ramadhani

    Nani kakwambia hapa ni Marekani. Marekani rais till the end of life unapewa ulinzi.
  16. R

    Serikali yaondoa ulinzi nyumbani kwa Jaji Mkuu mstaafu A. Ramadhani

    Your out of mind ALLY, you dn't know who is Chief Justice.! Stay cool.
  17. R

    Enzi ulipokuwa boarding

    teh teh teh teh duh mwana iyo mix ndio nimeikubali lazima product iwe ya kutisha.
  18. R

    Enzi ulipokuwa boarding

    <br /> <br />
  19. R

    Enzi ulipokuwa boarding

    duh ni noma kaka hasa ukijichimbia Kwenye msitu kule uwanjani pamesimama sana kaka, mi nilikuwa member mzuri
Back
Top Bottom