Kikundicha watu fulani wanatafuna ela ya walimu hamna kinachowasaidia walimu maisha duni kiliko mtumishi yeyote wa uma afazali mansion wagonjwa wanawotoa kiaina walimu tuition marufuku michango hamna ndo walikua wanapata ela ya sugar
Du unaonekana mjanja wa K/shamba ebu tukumbuke wajanja wengine marehem Fred Mzena na ndugu yake Chogo zaka au Ganga Pioka Pita Tosh Kimono Bob Nesta Abed kachanso Mudy Newyork wengi mno unamjua nani apo
Kweli bwana sijui umewaza nini kwa mfano KINDONI SHAMBA na ADA ESTETI nyumbani kwa mkuu wa kaya huwa tunakutana wakati wa kupiga kula lakini tofauti ya maisha kama MBINGU na ARDHI
Wakati wa zama hizo wale wenye maumbo madogo walikimbia vita kwa majayant ndo Tanzania ilikua salama kwao ndo mana sisi ni waoga na wanyonge hata kutawaliwa sio tabu ni asili yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.