Search results

  1. Kitukizuri

    je,ni sahihi kuanza kumkosoa kiongozi aliyechaguliwa na wananchi punde tu anapoanzaa?

    mh magufuli ameanza kwa kasi kujaribu kutekeleza ahadi na kurekebisha mambo ambayo hayakua sawa kwenye utawala uliopita,, je ni sahihi badala ya kumpongeza na kumtia moyo , kumkosoa na kujudge yale machache aliyoamua? watanzania wenzangu hamuoni kuwa mnakatisha tamaa uhudi zake na kuikwamisha...
  2. Kitukizuri

    Nafasi ya kaz yenye mshahara mnono

    nahitaji mshichana wa kaz anisaidie kaz ndogondogo hapa geto nikitoka collage nikute shwarii.
  3. Kitukizuri

    Familia inahitaji ushauri wenu wanajf

    nikweli kwamba aliondoka kwa hiari yake,hata hivyo alikuwa ni kijana mkubwa tu kama miaka 32 hivyo swala la kumpeleka hadi kwao lilikua gumu,hata ivyo kama hakutaka kwenda ingekua ngumu kumkamata kumrudisha kwao
  4. Kitukizuri

    Familia inahitaji ushauri wenu wanajf

    Ni kweli tulifanya kosa,lakini cha muhimu sasa ni kuangalia nini cha kufanya.tunajaribu kufatilia kwa rafiki zake tumegundua kwao ipogolo.tunajaribu kutafuta ndugu zake
  5. Kitukizuri

    Familia inahitaji ushauri wenu wanajf

    tulitewa na mama mmoja ambaye kwa sasa amerudi iringa na hatuna mawasiliano nae
  6. Kitukizuri

    Familia inahitaji ushauri wenu wanajf

    Tulikua na kijana wa kazi kutoka iringa,tuliishinae kwa takribani miezi kumi na tatu lakini alikuja kudhihirisha tabia zake za ulevi kupita kiasi,kiasi cha kusahau majukumu yake.mwisho wa siku yeye mwenyewe akaamua kuondoka nakusema anaenda kwao.basi tukampa chake,tukaagana.lakini inasema...
  7. Kitukizuri

    Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

    kuwa mpole pokea ushaur wowote si umetaka mwenyewe ushauri.
  8. Kitukizuri

    PowerBreak Fast Clouds FM na CD ya Ngono

    Mbona mi nilitegemea ki2 kama icho,we mtu siku ya kwanza kashaanza kurukiarukia wanaume,mara kamdandia buster,nikona hapa!!haya sasa.punguza shobo wewe!
  9. Kitukizuri

    Dunia imekwisha

    Iyo kali
  10. Kitukizuri

    Kuna ukweli juu ya hili?

    Hivi jamani ni kweli kuwa watu warefu maumbile yao ya ndani ni madogo na watu wafupi kadhalika maumbile yao ya ndani ni makubwa?
  11. Kitukizuri

    Naombeni ushaur

    Binamu yangu ananitaka kimapenz.nifanyeje?kuna ubaya?
  12. Kitukizuri

    Kutumia kondomu sawa na kupiga punyeto

    Mawazo yenu ni mazuri pia na nitayafanyia kaz
  13. Kitukizuri

    Breaking newzzzzzzzzzz......!!!!

    Shemeji yake namfahamu anaitwa BAOMOJA
  14. Kitukizuri

    Kutumia kondomu sawa na kupiga punyeto

    Nyie mnaonaje.hayo ni mawazo yangu 2 jamani
  15. Kitukizuri

    Mashetani na namba za simu.

    Mimi nawasiliana nao vizuri 2.nimetoka kuwatakia pasaka njema hv punde tu.wanakusalimia sana
  16. Kitukizuri

    JF vs FACEBOOK

    Thats right
Back
Top Bottom