Search results

  1. H

    Wana wa bunda

    Musa wa A& B?
  2. H

    Wabunge wa CCm waliotia sahihi maisha yao hatarini.

    lugola asikutishe huyo mbwa,na kama haamini afanye anachoweza halafu aone tunajuwa anapoishi na ndg zake tunawajuwa na ajaribu aone.Mkama kumbe mjinga sana!
  3. H

    I am flying without wings

    Enjoy it while it lasts!!!
  4. H

    Woman alleges long affair with Cain

    extramarital affairs, like any other wrongdoings, have consequences!!!!!
  5. H

    Hawa Tigo wataacha lini huu upumbavu

    Hawa Tigo ni majizi wakubwa juzi wamenikata 1132 bilasababu,Tigo ni vibaka.
  6. H

    Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

    Kinyesi si mwiba, lakini ukikikanyaga lazima uchechemee.Kupuuza maoni juu ya muswada huu kikwete umekanyaga mavi.
  7. H

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    Hizi sera za kikwete za kutesa kwa zamu zinatupelekea kubaya.Hii serikali ya ccm inatudharau sana wananchi,hivi wanajuwa impact yake kweli?
  8. H

    CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Wanatoka nchi mbili tofauti Lisu Mtanganyika na hamad mpemba.
  9. H

    Mbunge wa Mbarali (CCM) kwenda jela miezi 10 au kulipa faini

    Hii habari ni yakweli?mana nimesikia jana kwenye chombo cha habari kuwa hukumu imeahirishwa mpaka baada ya kumalizika kwa mkutano huu wa bunge unaoendelea.tunnaomba source yako plz!
  10. H

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    We una mke au una sokwe tu, wenye wake wala hawasemi mbuzi weye.
  11. H

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Mpe vidonge vyake fisadi huyo watu wanaongelea ukombozi yeye analeta story za kishoga hapa!achana nae mama.
  12. H

    Mbunge wa Ubungo John Mnyika anyimwa na polisi kufanya mkutano

    Hapa kuna jambo linaandaliwa kujustfy intelejensia yao,lengo hasa nikuwazuia kabisa chadema kufanya mikutano yao hasa wakati huu wa vuguvugu la KATIBA mpya na huu ufisadi unaondelea kuibuliwa na kamati za bunge.Kwa hali ilivyo sasa serikalini wanaweza kufanya chochote ili kuhamisha mawazo ya...
  13. H

    Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

    Pole mzee mwenzangu,mungu akuponye haraka uwezekuendelea na shuguli zako.Jamani hiki kifo tunatembea nacho hatujui muda,siku wala saa kinawezatokea,tuombe na kushukuru kwa kila jambo.
  14. H

    Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

    Umenikumbusha yule bosi aliyeinunuwa Uda ambae ni rafiki wa mtoto wa mkulu,wakati wa uchaguzi wa ubunge mwaka jana kwenye lile jimbo la Shibuda alimpiga ngwala OCD na hakufanywa lolote na alikuwa ni mgombea tu,jiulize sasa ww mbunge unatetea wananchi wako unalambwa vibao,can u imagine?Kigwangala...
  15. H

    Viongozi wa CHADEMA wapelekwa gereza la Isanga

    Poleni kamanda, tuko pamoja iko cku watajutia dhuluma yao.
  16. H

    Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

    Pole sana mh Kigwangala,unavuta shuka wakati kumepambazuka! hao ndio police ambao wananchi wanawalalamikia kila cku kuwa wananyanyasa raia na kuwabambikia kesi nakuwapiga na nyinyi watunga sheria mnapuuza,sasa leo unapigwa kibao unalalamika, wenzio wanapigwa na marungu na kuporwa mali zao,ama...
  17. H

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Huyu fisadi alitakiwa kuwa gerezani tu,kuwa kwake nje kunacreate confusion kwa watanzania tu.Tunahangaika na umeme,nabado tunahitajika kulipa Dowans mabilion kwa ufisadi wake halafu anajifaraguwa!Kikwete peleka huyu kibaka Ukonga asitutie hasira hapa!!!
  18. H

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Unafiki uliopo ccm utawamamliza, mana Lowasa leo kaongea full mipasho na alikuwa anamnanga Nape na magazeti na kumsfia Kikwete kuwa hawakukutana barabarani.Kwa haya aliyoyasema leo huyu Lowasa nadhani akili yake bado anamtegemea sana Kikwete kwa uchaguzi ujao 2015.Hana jipya ni fisadi mkubwa.
  19. H

    Vodacom acheni Upumbavu!

    Vodacom mapimbi sana hii bahati nasibu yao eti ukiingia mara1 huruhusiwi kujitoa!Majambazi wanakugeuza mradi,wezi wakubwa wangekuwa wanatoa tahadhari kuwa ukishajiunga ni forever basi mtu ungeamua mwenyewe lkn wapi!nimetuma msg kuomba nijitoe hakuna jibu!Nimeitupa line hii ni wk ya pili.Mijitu...
  20. H

    Maiti zaidi za wana CHADEMA zaokotwa Igunga!

    Chadema tunaka sasa kuona seriousnes yenu kwa jambo hili,wanachama wenu wanateketea na midude CCM. Nnauye, Mukama, Nchemba na Wasira ni watu wanafiki na wauaji wakubwa, kwanini haya yanatokea sasa kwenye uongozi wao ndani ya CCM? Na si wakati wa kina Yusuph Makamba? Kweli inaumiza sana...
Back
Top Bottom